Kati ya Suzuki carry na Guta kipi bora?

Kati ya Suzuki carry na Guta kipi bora?

Fene

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
2,824
Reaction score
4,447
Inakuwaje Wakuu!

Kati ya hivyo viwili hapo juu ni ipi chombo ya kazi na ukiipeleka pesa yako ni uwekezaji mzuri

Kwa maana kulingana na soko letu na hali ya maisha kibongobongo ni ipi itayokuwa na soko kubwa kikazi lakini pia kiustahimilivu, ipi ambayo inaweza dumu kwa muda mrefu endapo matunzo yakazingatiwa pia
(Life expectancy yake inaweza fika miaka mingapi?)

Endapo kama utampa dereva kwa kawaida hesabu inakuwaje kwa siku?

kati ya SUZUKI CARRY na GUTA

Kama kawaida wanaJamiiForums tuendelee kupeana maarifa kwa wenye experience na hili
1577070878340883_900_600.jpg
main1-600x600.jpg
 
Moderator tupelekeeni nyuzi katika Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Lengo langu nimeuliza kiuchumi zaidi na si kiufundi
 
Katika maisha yangu ya kijiwe nmeona guta ndo zinasanya zaidi kuliko hicho ki gari.
Nafikir sababu ni kama ifuatavyo;
1. Guta inaingia hata sehemu mbaya mfano kwenye shamba, porini ambako gari Kwa jinsi llivyo haliwezi maana guta ipo juu hichi ki gari kipo chini kinatitia.
2. Wateja wengi hawaogopi kufuata guta ili likambebe mzigo tofauti na hicho ki gari mteja akishaa kiona anaogopa Kwa kuhofia atakodi Kwa bei kubwa kikambebe mahindi yake shamba.
3. Guta inabeba mpaka kilo 1000 Tani 1 sawa na hichi ki gari lkn ulaji wa mafuta guta utapenda. Very economical.!!!
4. Matangenezo ya guta yapo chini hata mafund boda wakakurekebishia lkn pia hata malipo ya Kodi serikalini guta yapo chini na hawakamati hovyo ka gari.
5. Guta utaishi nalo miaka mingi tofauti na gari. Guta likidondok watu 2 mnainua na kazi inaendelea ila hicho ki gari baba unaenda kupaki juu ya mawe ka huna pesa mingi.

Ukitaka return nunua guta ila sio kama hako ulikoonesha hapo, chukua WANHOO 250 AU 300. Pia sinoray nzuri Ina tera kubwa zaidi na inapiga tipa.

Nina uziefu kiasi flani maana nmetoka kuwa mtoto wa kijiweni sana tu.!
 
4. Matangenezo ya guta yapo chini hata madund boda wakakurekebishia lkn pia hata malipo ya Kodi serikalini guta yapo chini na hawakamati hovyo ka gari.

Naamini umemsaidia sana mdau mwezetu hapo. Kazi ibakie kwake.
 
Ahsante sana Mkuu ila nina maswali kidogo

1.Kati ya hiyo WANHOO na Sinoray ipi inatakiwa iwe option no.1 kama mfuko unaruhusu
(Kama una uzoefu wa bei sio mbaya pia ukataja)

2.Kwa maisha yako ya kijiweni ulishuhudia madereva wa guta hesabu yao kwa siku ilikuwa inasoma vp kwa boss

Natanguliza shukrani
 
1. Dah, hapa umenipa mtihani katika uchaguzi, kazi ya kuchagua nakuachia mimi nafikir nikupe tu dondoo. Kama nilivyosema, wanhoo Ina tera dogo ila inadumu sana, hata mabati yake n chuma kizito pia injin haichoki mapema, ila tipa haipigi.
Sinoray Ina bodi kubwa, ni delicate ila inapiga tipa.
Ipi ununue, angalia mazingira unapotaka kuiweka, hilo eneo kukiwa na sinoray nyingi usichukue wanhoo maana wateja wataona wanapunjwa wataenda sinoray wewe utakua unapiga doro tu, lkn kama hakuna guta au wanhoo zipo chukua wanhoo.
Mfano; Iringa utakutana na wanhoo 98% hata ukitaka kuliuza utapata mteja haraka.
Njombe mjini utakutana na sinoray, wabena wanazikubari hatari na Ile kupiga tipa wanaenjoy wakipeleka samadi shamban wanaenjoy linapopiga tipa sio kupiga chepe tena.!!!

Bei, 2020 wanhoo ilikua mil 6.5 sijajua Kwa Sasa na sinoray sifahamu

2. Rejesho ilikua 20 Kwa siku. Dereva alikua haikosi na hawakua na stori nyingi Kwa boss wake kama sisi dereva boda.!!

Nilikua nashuhudia baadhi ya siku jamaa wanapiga mpaka laki 2 per day
N:b ushauri, angalia maeneo hayo ulipo wanapendelea kununua aina gani ya guta nawe ununue ili iwe rahisi kuja kuliuza. Yapo aina nyingi kama vile Kinglion, cruiser n.k Sina uzoefu nayo ila nimeyaona.
 
1. Dah, hapa umenipa mtihani katika uchaguzi, kazi ya kuchagua nakuachia mimi nafikir nikupe tu dondoo. Kama nilivyosema, wanhoo Ina tera dogo ila inadumu sana, hata mabati yake n chuma kizito pia injin haichoki mapema, ila tipa haipigi.
Sinoray Ina bodi kubwa, ni delicate ila inapiga tipa.
Ipi ununue, angalia mazingira unapotaka kuiweka, hilo eneo kukiwa na sinoray nyingi usichukue wanhoo maana wateja wataona wanapunjwa wataenda sinoray wewe utakua unapiga doro tu, lkn kama hakuna guta au wanhoo zipo chukua wanhoo.
Mfano; Iringa utakutana na wanhoo 98% hata ukitaka kuliuza utapata mteja haraka.
Njombe mjini utakutana na sinoray, wabena wanazikubari hatari na Ile kupiga tipa wanaenjoy wakipeleka samaki shamban wanaenjoy linapopiga tipa sio kupiga chepe tena.!!!

Bei, 2020 wanhoo ilikua mil 6.5 sijajua Kwa Sasa na sinoray sifahamu

2. Rejesho ilikua 20 Kwa siku. Dereva alikua haikosi na hawakua na stori nyingi Kwa boss wake kama sisi dereva boda.!!

Nilikua nashuhudia baadhi ya siku jamaa wanapiga mpaka laki 2 per day
Ahsante sana Mkuu

Hakika nimetoshelezwa na maelezo

Nimepata muangaza wa kutosha

UBARIKIWE
 
Hivi ni sababu zipi zinnazowafanya watu wadai guta ina nguvu kuĺiko suzuki carry wakati kitaalamu specs zake ni zaidi ya guta,mfano engine displacement na horsepower?Kumbuka the bigger the volume,the powerful the engine.
 
Kwa maoni yangu chukua GUTA ya KIHINDI TOYO mwaka jana nilichukua moja cc250.
Mungu ni mwema mambo yameenda vzr kiasi nimeongeza moja juzi cc200.
Pia kwenye service akuna galama kubwa kwa GUTA ya KIHINDI TOYO.
Chuma nasubilia this week TRA wamalixie usajili wao kitu kiingie kwa njia.
 
Katika maisha yangu ya kijiwe nmeona guta ndo zinasanya zaidi kuliko hicho ki gari.
Nafikir sababu ni kama ifuatavyo;
1. Guta inaingia hata sehemu mbaya mfano kwenye shamba, porini ambako gari Kwa jinsi llivyo haliwezi maana guta ipo juu hichi ki gari kipo chini kinatitia.
2. Wateja wengi hawaogopi kufuata guta ili likambebe mzigo tofauti na hicho ki gari mteja akishaa kiona anaogopa Kwa kuhofia atakodi Kwa bei kubwa kikambebe mahindi yake shamba.
3. Guta inabeba mpaka kilo 1000 Tani 1 sawa na hichi ki gari lkn ulaji wa mafuta guta utapenda. Very economical.!!!
4. Matangenezo ya guta yapo chini hata mafund boda wakakurekebishia lkn pia hata malipo ya Kodi serikalini guta yapo chini na hawakamati hovyo ka gari.
5. Guta utaishi nalo miaka mingi tofauti na gari. Guta likidondok watu 2 mnainua na kazi inaendelea ila hicho ki gari baba unaenda kupaki juu ya mawe ka huna pesa mingi.

Ukitaka return nunua guta ila sio kama hako ulikoonesha hapo, chukua WANHOO 250 AU 300. Pia sinoray nzuri Ina tera kubwa zaidi na inapiga tipa.

Nina uziefu kiasi flani maana nmetoka kuwa mtoto wa kijiweni sana tu.!
hahaha mkuu kagari unakachukukia kutoka moyoni
 
Kwa maoni yangu chukua GUTA ya KIHINDI TOYO mwaka jana nilichukua moja cc250.
Mungu ni mwema mambo yameenda vzr kiasi nimeongeza moja juzi cc200.
Pia kwenye service akuna galama kubwa kwa GUTA ya KIHINDI TOYO.
Chuma nasubilia this week TRA wamalixie usajili wao kitu kiingie kwa njia.
Mkuu toa maoni yako, unatofautisha vp kiubora kati ya hiyo Toyo, Sinoray na Wanhoo?
 
Back
Top Bottom