BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
Mziki wa masafa ni level nyingineTuseme dereva A anaendesha coaster transmission manual ambayo ni daladala route ni Mbezi to Mnazi Mmoja dereva B anaendesha Special hire gari ni Ile Ile kakodiwa kuwapeleka abiria Arusha kwenye Send off.
Nani ana kibarua kizito.
Lakini yeye hajasema udereva wa gari zipi mkuu.Nyie watu mnaijua kazi ya daladala? Unaamka SAA 10 usiku na unalala SAA 7 usiku alafu upo na manual transmission kwenye foleni za mjini .... Gari imechoka kilakitu kigumu kuanzia usukani Hadi gear zinaingia Kwa jasho.
Dereva wa special hire na rubani wa ndege hawana tofauti kwenye utanashati huwezi kumfananisha na dereva wa daladala
Shukran Sana Kwa kuweka sawa....Lakini yeye hajasema udereva wa gari zipi mkuu.
Kauliza mjini na masafa wapi kuendesha kugumu japo pia mimi naona mjini ni jau zaidi muda wowote unapata msala wa kugonga mtu au gari.