Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Upo sahihi mkuuSahoyo na shekuyo na vashiki va monu nyueni wari uuh na maruvaa mlye vose na mtainde bangara haa kaa wala fo mwai, varinge vana va motu piu vaininge mbora tsa monu, varulieni njia tsa mwavo, vavosire kibarueni, mtemeni, biashareni na choose verunda vafanikishe,
Dini ni upumbavu. Period.Dini maarufu zaidi duniani yaani Uislamu, Ushahidi na Ukristo, inaonekana shina la Imani zake, limejengwa kumzunguka Ibrahim.
Dini zote hizo tatu zinamtambua Ibrahimu kama ni binadamu aliyekuwa anafuata maelekezo ya Mungu wanayemuamini.
Lakini dini hizo tatu kila Moja inaona dini nyingine zinamuelezea Ibrahim kinyume cha uhalisia wa maisha yao.
Ni dini ipi kati ya hizi tatu ndiyo iko sahihi kuhusu Ibrahim?
Kama wewe ndie mtoa mada siku ukisali omba akili pengine ndio kitu pekee umekosaA serious question with stupid answers very sorry brother
Labda utueleze ukristo na uyahudi zimetofautiana kipengele gani katika kuuelezea uhalisia wa maisha ya Ibrahim....akini dini hizo tatu kila Moja inaona dini nyingine zinamuelezea Ibrahim kinyume cha uhalisia wa maisha yao.
Swali la nyongeza:- ikiwa Ukristo, Uislamu na Uyahudi wanaamini katika manabii walewale kuanzia Ibrahim (Abraham) mpaka ao wa mwisho katika imani zao! Kwanini tunatofautiana kufanya ibada?Dini maarufu zaidi duniani yaani Uislamu, Ushahidi na Ukristo, inaonekana shina la Imani zake, limejengwa kumzunguka Ibrahim.
Dini zote hizo tatu zinamtambua Ibrahimu kama ni binadamu aliyekuwa anafuata maelekezo ya Mungu wanayemuamini.
Lakini dini hizo tatu kila Moja inaona dini nyingine zinamuelezea Ibrahim kinyume cha uhalisia wa maisha yao.
Ni dini ipi kati ya hizi tatu ndiyo iko sahihi kuhusu Ibrahim?
Habari za Ibrahim ni za kubuniwa tu, hazina uhalisia wowoteDini maarufu zaidi duniani yaani Uislamu, Ushahidi na Ukristo, inaonekana shina la Imani zake, limejengwa kumzunguka Ibrahim.
Dini zote hizo tatu zinamtambua Ibrahimu kama ni binadamu aliyekuwa anafuata maelekezo ya Mungu wanayemuamini.
Lakini dini hizo tatu kila Moja inaona dini nyingine zinamuelezea Ibrahim kinyume cha uhalisia wa maisha yao.
Ni dini ipi kati ya hizi tatu ndiyo iko sahihi kuhusu Ibrahim?
Dini maarufu zaidi duniani yaani Uislamu, Ushahidi na Ukristo, inaonekana shina la Imani zake, limejengwa kumzunguka Ibrahim.
Dini zote hizo tatu zinamtambua Ibrahimu kama ni binadamu aliyekuwa anafuata maelekezo ya Mungu wanayemuamini.
Lakini dini hizo tatu kila Moja inaona dini nyingine zinamuelezea Ibrahim kinyume cha uhalisia wa maisha yao.
Ni dini ipi kati ya hizi tatu ndiyo iko sahihi kuhusu Ibrahim?
Hapo ndiyo shida Sasa!#13
Je Mwl sahihi wa kufundisha hili atokee kundi lipi?
Mwamba ngoma.........
Who are you to judge my senses? Even if Mimi ni box tupu wewe omba hekima maana Mimi nimekuzidi hekima baki na akili bila hekima, I never quoted you....Kama wewe ndie mtoa mada siku ukisali omba akili pengine ndio kitu pekee umekosa
unaongea lugha ya kipentekoste?Sahoyo na shekuyo na vashiki va monu nyueni wari uuh na maruvaa mlye vose na mtainde bangara haa kaa wala fo mwai, varinge vana va motu piu vaininge mbora tsa monu, varulieni njia tsa mwavo, vavosire kibarueni, mtemeni, biashareni na choose verunda vafanikishe,