Hakuna ambayo ilikuwa sawa katika hilo, ndo maana Yesu aliwaita uzao wa nyoka. Katika
Mathayo 12:34
Enyi wazao wa nyoka, mwawezaje kunena mema, mkiwa wabaya? Maana, kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake.
Wayahudi hawakumwelewa wakidhani amewatusi kwakuwa wao ni uzao wa ibrahim ila kiuhalisia tangu Adam ahiari maagizo ya nyoka palepale akawa nyoka ndani yake na wote waliozaliwa baada ya hapo wakawa uzao wa nyoka.
So japo Ibrahim alipewa mamlaka ya kuwa Baba wa mataifa ila haikuwezekana sababu ya limbuko lililotangulia.
Hakuna ushahidi wowote wa Yesu kuongea hayo maneno wala huyo Matthew hajulikani ni Matthew yupi kwa hivyo habari zote Za Hao waandishi ni Za kudhani tu , mambo ya kudhani hata mbele ya mahakama yoyote ulimwenguni hayakubaliki