Kati ya Uislamu, Uyahudi na Ukiristo, ni dini ipi ipo sahihi kuhusu Ibrahim?

Kati ya Uislamu, Uyahudi na Ukiristo, ni dini ipi ipo sahihi kuhusu Ibrahim?

Dini maarufu zaidi duniani yaani Uislamu, Ushahidi na Ukristo, inaonekana shina la Imani zake, limejengwa kumzunguka Ibrahim.

Dini zote hizo tatu zinamtambua Ibrahimu kama ni binadamu aliyekuwa anafuata maelekezo ya Mungu wanayemuamini.

Lakini dini hizo tatu kila Moja inaona dini nyingine zinamuelezea Ibrahim kinyume cha uhalisia wa maisha yao.

Ni dini ipi kati ya hizi tatu ndiyo iko sahihi kuhusu Ibrahim?

Ibrahim kupitia Hagar akamzaa Eshamel (uzao wa Waarabu na Moslem community)

Ibrahim kupitia Sarah akamzaa Isaac (Hapa pakazaliwa Imani mbili

1. Wayahudi (Jews) - hawa hawakuamini unabii kuwa Messiah atakuja kama mwanakondoo, waliamini na wanaamini kuwa Messiah atakuja kama Simba wa Yuda

2. Wakristo - hawa waliamini Unabii kuwa Messiah atakuja kama mwanakondoo mnyenyekevu, atasulubiwa, atakufa na kufufuka siku ya tatu, atapaa mbinguni, kisha atarudi tena Duniani kama Simba wa Yuda.

Mgawanyiko wa Imani hii kwa Wayahudi na Wakristo biblia imeueleza kwa kina kupitia Kitabu cha Isaya, sura ya 53.

Kila la heri mkuu
 
Hiyo ndiyo Aya Yesu alikuambia umfuate yeye?
Haya na Mohammad wenu, Hadithi ndiyo zinazidi kumuumbua kumbe alipandwa na mijidume usiku kucha. Na siyo kwamba walimlazimisha bali aliifuata mwenyewe. Kwanini hii hadithi hao waarabu wenu waliificha, hawakuitafsiri!? Na sasa Baadhi ya Waarabu waliouacha Uislamu ndiyo wanazifichua. Uislamu kwishne

View: https://youtu.be/WB7Lfrt3fOw?si=fcjwxIh2FVBkMhlJ
 
Umeleta Aya nyengine ya biblia, Yesu anakuambia umfuate?
 
Ibrahim kupitia Hagar akamzaa Eshamel (uzao wa Waarabu na Moslem community)

Ibrahim kupitia Sarah akamzaa Isaac (Hapa pakazaliwa Imani mbili

1. Wayahudi (Jews) - hawa hawakuamini unabii kuwa Messiah atakuja kama mwanakondoo, waliamini na wanaamini kuwa Messiah atakuja kama Simba wa Yuda

2. Wakristo - hawa waliamini Unabii kuwa Messiah atakuja kama mwanakondoo mnyenyekevu, atasulubiwa, atakufa na kufufuka siku ya tatu, atapaa mbinguni, kisha atarudi tena Duniani kama Simba wa Yuda.

Mgawanyiko wa Imani hii kwa Wayahudi na Wakristo biblia imeueleza kwa kina kupitia Kitabu cha Isaya, sura ya 53.

Kila la heri mkuu
Hizi story sijui zilitoka wapi,Ishmael kazaliwa mwaka 1727 BCE ,Mohammed kaja na uislam mwaka 610 CE Kuna gap la zaidi ya miaka 2000 kati ya Ishmael na muhamad iweje kusema Ishmael ndio baba wa muslims
 
Ndugu yangu maswali yoote unayouliza majibu yake yapo kwenye Quran. Kama kweli una nia ya kutaka kujua ukweli basi nakusihi chukua vitabu vyote usome, anza na kitabu chako cha Injili, Taurati na Zaburi, kisha chukua Quran.

Maswali yote uliyo nayo yaandike na nina kuhakikishia kuwa majibu yako yote utayapata ndani ya Qurani. Quran imeelezea kwa kina jinsi wayahudi na wakristo walivyopotosha mafundisho kwa kubadilisha maneno ya Mwenyezi Mungu yaliyopo kwenye vitabu vyao.

Ili uelewe vizuri tafuta Quran yenye tafsiri ya Kiswahili na Quran yenye Tafsiri ya Kiingereza ukikwama kuelewa huku unarudi huku. Quran ni kitabu ambacho kipo clear sana kinaeleweka vizuri majibu yapo wazi.

Namuomba Mwenyezi Mungu atuongoze wote katika dini iliyo sahihi
Hayo maneno ya Mwenyezi Mungu yalipotoshwa lini, wapi na akina nani?
Walipotosha maneno hayo ili iweje?
 
Hayo maneno ya Mwenyezi Mungu yalipotoshwa lini, wapi na akina nani?
Walipotosha maneno hayo ili iweje?
Labda nikuulize wewe mwenyewe, ni kwa nini vitabu vyenu vya Biblia vimetofautiana kati ya dhehebu moja na lingine? Yaani hata huko kwenye Ukatoliki wenyewe wana version tofauti tofauti za Biblia, Anglikan nao wana version zao tofauti tofauti... Protestant vile vile....

Na kila mmoja wenu anasema Biblia yake ndio sahihi. Labda nikuulize ilikuwaje kuwaje mpaka hizo Biblia zikatofautiana kama sio watu wanabadilisha maneno ya Mwenyezi Mungu? Ni nani aliyewapa ruhusa ya kubadilisha maneno ya Mwenyezi Mungu?

Be informed kwamba QURAN ipo moja tu dunia nzima, haijawahi kubadilishwa kwamwe. kama unabisha leta ambayo ni tofuti.
 
Kuna mwanamke ukifanya nae mapenzi akichoka hali bado mwanaume yupo na mood anaanza tumia mikono yake kuchezea maumbile ya mwanaume ili akidhi haja za mwanaume Je na hii ni nyeto ama kitaalamu inaitwaje??
Mkuu hiyo sio nyeto, ni njia ya mwanamke kumridhisha mwanaume ile afikie lengo lake, ni sawa na mwanamke kuwa kwenye siku zake na wewe una hamu anaweza kutumia njia hiyo. Hiyo ni bora kuliko kukuacha ukaenda kuzini.
 
Mungu ni MMOJA na dini yake ni moja. Shida ni Wayahudi walikengeuka wakakataa kumfuata Yesu wakamuua na alipokuja Muhammad wakakataa kumfuata.
Mabalaa yote duniani yanaletwa na wayahudi na hilo lilitabiriwa. Ndio maana kuna kipindi wanakula maisha kuna kipindi wanakua wanyonge.
 
Dini maarufu zaidi duniani yaani Uislamu, Ushahidi na Ukristo, inaonekana shina la Imani zake, limejengwa kumzunguka Ibrahim.

Dini zote hizo tatu zinamtambua Ibrahimu kama ni binadamu aliyekuwa anafuata maelekezo ya Mungu wanayemuamini.

Lakini dini hizo tatu kila Moja inaona dini nyingine zinamuelezea Ibrahim kinyume cha uhalisia wa maisha yao.

Ni dini ipi kati ya hizi tatu ndiyo iko sahihi kuhusu Ibrahim?
Wewe unaona ipi ni SAHIHI
 
Angalia tu ipi I lianza, zilizofuata ni remix tu
 
Labda nikuulize wewe mwenyewe,
Nimekuuliza swali umeshindwa kujibu na umeamua kirudisha tena kwangu.
ni kwa nini vitabu vyenu vya Biblia vimetofautiana kati ya dhehebu moja na lingine? Yaani hata huko kwenye Ukatoliki wenyewe wana version tofauti tofauti za Biblia, Anglikan nao wana version zao tofauti tofauti... Protestant vile vile....
Tofauti zipo katika Biblia kutokana na tafsiri tofauti tofauti za wafasiri mbalimbali. Hizi tofauti ni ndogo ndogo ambazo hazipotoshi maana iliyokusudiwa.
Na kila mmoja wenu anasema Biblia yake ndio sahihi. Labda nikuulize ilikuwaje kuwaje mpaka hizo Biblia zikatofautiana kama sio watu wanabadilisha maneno ya Mwenyezi Mungu? Ni nani aliyewapa ruhusa ya kubadilisha maneno ya Mwenyezi Mungu?

Be informed kwamba QURAN ipo moja tu dunia nzima, haijawahi kubadilishwa kwamwe. kama unabisha leta ambayo ni tofuti.
Ndugu, Quran zipo aina tofauti tofauti believe it or not!
Ingia online tafuta hizi versions za Quran nilizoorodhesha hapa chini, na utagundua kuwa kuna tofauti za maneno kama ilivyo Biblia. Yawezekana wafasiri hawakuwa na lengo si kupotosha Neno la Mungu.

Ebu tafuta hizi Quran online: Khalaf 844, Ibn Amir, Warsh 812, QaLUN 835, Ibn Kathir, Shabah 809 ... n.k.
 
Dini maarufu zaidi duniani yaani Uislamu, Ushahidi na Ukristo, inaonekana shina la Imani zake, limejengwa kumzunguka Ibrahim.

Dini zote hizo tatu zinamtambua Ibrahimu kama ni binadamu aliyekuwa anafuata maelekezo ya Mungu wanayemuamini.

Lakini dini hizo tatu kila Moja inaona dini nyingine zinamuelezea Ibrahim kinyume cha uhalisia wa maisha yao.

Ni dini ipi kati ya hizi tatu ndiyo iko sahihi kuhusu Ibrahim
Uislam na Mudi mwenyewe havijawahi kuwepo.

Mohamed hajawahi kuwepo.

Kale kakitabu ka kuitwa Kuran kote mi kakuitia majini. Kila sura na aya ni kwa ajoli majini.

NB: KURAN NI USHIRIKINA.HATA MASHEHE WOTE NI WAGANGA NA WASHIRIKINA KWA KIVULI CHA DINI.
 
Nadhani Wakristo na Judaism (sipendi kutumia neno Wayahudi kama dini ) wanamuelezea Ibrahim bila kubishana, wanaongea lugha 1. Tofauti yao iko hapa, Judaism hawaamini katika Yesu and hence they are not the Christians while Wakristo Yesu ndio msingi wa imani yao. Wayahudi wana amini katika agano la KALE, while Wakristo wanatembea na maagano yote 2, la KALE na Jipya; kwenye agano jipya, Ibrahim ana nakiliwa kutoka agano la KALE ambalo lina aminiwa pia na Judaism and hence these 2 can speak the same language regarding Abraham.
Kuhusu Waislamu na Ibrahim, kuna utata sana, wao wana amini Ibrahim alitaka kumtoa sadaka mwanae aliyemzaa na house girl while Wakristo na Wayahudi wanajua ni Isaka mwanae aliyezaliwa kwa mkewe wa ndoa. Wakristo na Wayahudi wanajua sadaka ile ilifanyikia kwenye mlima Moria, while Waislamu wana amini Ibrahim alisafiri hadi mji wa Makkah ya leo. So contradiction zipo kwa Waislamu na sio Judaism na Wakristo
 
Ibramu wa Biblia baba yake ni Tera
Mwanzo (Gen) 11:27
Na hivi ndivyo vizazi vya Tera. Tera akamzaa Abramu, na Nahori, na Harani. Harani akamzaa Lutu.
...........
Ibrahimu wa Qurani baba yake ni Azar
[ AL - AN-A'AM - 74 ]
Na pale Ibrahim alipo mwambia baba yake, Azar: Unayafanya masanamu kuwa ni miungu? Hakika mimi nakuona wewe na watu wako mmo katika opotofu ulio wazi.
........
Hapo unamzungumzia Ibrahimu yupi ?
 
Back
Top Bottom