Hakuna ambayo ilikuwa sawa katika hilo, ndo maana Yesu aliwaita uzao wa nyoka. Katika
Mathayo 12:34
Enyi wazao wa nyoka, mwawezaje kunena mema, mkiwa wabaya? Maana, kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake.
Wayahudi hawakumwelewa wakidhani amewatusi kwakuwa wao ni uzao wa ibrahim ila kiuhalisia tangu Adam ahiari maagizo ya nyoka palepale akawa nyoka ndani yake na wote waliozaliwa baada ya hapo wakawa uzao wa nyoka.
So japo Ibrahim alipewa mamlaka ya kuwa Baba wa mataifa ila haikuwezekana sababu ya limbuko lililotangulia.
Basi itakuwa uliyasema wewe mkuu na huyo mathayo ndo wewe.Hakuna ushahidi wowote wa Yesu kuongea hayo maneno wala huyo Matthew hajulikani ni Matthew yupi kwa hivyo habari zote Za Hao waandishi ni Za kudhani tu , mambo ya kudhani hata mbele ya mahakama yoyote ulimwenguni hayakubaliki
Kiruuu babangu eeeh,unaongea lugha ya kipentekoste?
Nadhani Uyahudi ndio dini “sahihi” ndio ambayo ilianzisha kumtumia Ibrahim kama baba wa Imani kwenye Hekaya zao kwenye Tanakh.Dini maarufu zaidi duniani yaani Uislamu, Ushahidi na Ukristo, inaonekana shina la Imani zake, limejengwa kumzunguka Ibrahim.
Dini zote hizo tatu zinamtambua Ibrahimu kama ni binadamu aliyekuwa anafuata maelekezo ya Mungu wanayemuamini.
Lakini dini hizo tatu kila Moja inaona dini nyingine zinamuelezea Ibrahim kinyume cha uhalisia wa maisha yao.
Ni dini ipi kati ya hizi tatu ndiyo iko sahihi kuhusu Ibrahim?
Jesus loves Jagina! na mm ninayekuambia hivyo ujue siamini kuwa Jesus is the God Almighty. Nimetii ulichoniagiza nikasoma hiyo link. Hamna kitu.
Uislamu ni dini ya sheria.Dini maarufu zaidi duniani yaani Uislamu, Ushahidi na Ukristo, inaonekana shina la Imani zake, limejengwa kumzunguka Ibrahim.
Dini zote hizo tatu zinamtambua Ibrahimu kama ni binadamu aliyekuwa anafuata maelekezo ya Mungu wanayemuamini.
Lakini dini hizo tatu kila Moja inaona dini nyingine zinamuelezea Ibrahim kinyume cha uhalisia wa maisha yao.
Ni dini ipi kati ya hizi tatu ndiyo iko sahihi kuhusu Ibrahim?
Jesus loves Jagina! na mm ninayekuambia hivyo ujue siamini kuwa Jesus is the God Almighty. Nimetii ulichoniagiza nikasoma hiyo link. Hamna kitu.
Mm nimekuwekea video ya Muislam mwenzio, ambaye anakuambia kuwa Tatizo hapa Duniani ni Muslim Brotherhood ambao kwa kutumia Quran wanataka kutimiza Agenda zao za Kisiasa.
Ukizipanga hizo Dini kulingana na UmriDini maarufu zaidi duniani yaani Uislamu, Ushahidi na Ukristo, inaonekana shina la Imani zake, limejengwa kumzunguka Ibrahim.
Dini zote hizo tatu zinamtambua Ibrahimu kama ni binadamu aliyekuwa anafuata maelekezo ya Mungu wanayemuamini.
Lakini dini hizo tatu kila Moja inaona dini nyingine zinamuelezea Ibrahim kinyume cha uhalisia wa maisha yao.
Ni dini ipi kati ya hizi tatu ndiyo iko sahihi kuhusu Ibrahim?
Ibrahim Hakuna myahudi ni mtu kutoka Iraq , uyahudi umeanza na YudaUkizipanga hizo Dini kulingana na Umri
1. Uyahudi
2.Ukristo
3.Uislam
Uyahudi ndio PARENT Religion wa hizi dini 2 na 3 ,wanapishana kwenye mambo fulani fulani, kwakuwa Ibrahim alikuwa Muyahudi, nashawishika kuwa Dini ya kiyahudi inaweza kuwa na maelezo yaliyo sahihi sana kumuhusu kuliko hizi mbili zinazobaki ambazo zimechipuka maelfu ya miaka baada ya kuondoka kwake
N.B Dini ya kiyahudi inaipita dini ya kikrsto kwa umri wa zaidi ya miaka 2000 na dini ya kikrsto inaipita dini ya kiislam kwa umri wa zaidi ya miaka 400
Ukizipanga hizo Dini kulingana na Umri

Andrew Tate huyo anauacha Uislamu, wenzio hao akina Mohammed Hijab wako worriedWewe unapenda kusikiliza watu mwisho utamfuata Nabii tito kwa kufuata watu.
hakuna mahali Yesu alisema tumfuate yeye au kama unapo tuletee