Dini maarufu zaidi duniani yaani Uislamu, Ushahidi na Ukristo, inaonekana shina la Imani zake, limejengwa kumzunguka Ibrahim.
Dini zote hizo tatu zinamtambua Ibrahimu kama ni binadamu aliyekuwa anafuata maelekezo ya Mungu wanayemuamini.
Lakini dini hizo tatu kila Moja inaona dini nyingine zinamuelezea Ibrahim kinyume cha uhalisia wa maisha yao.
Ni dini ipi kati ya hizi tatu ndiyo iko sahihi kuhusu Ibrahim?
Andrew Tate huyo anauacha Uislamu, wenzio hao akina Mohammed Hijab wako worried
View: https://youtu.be/QlkGA-JqVLE?si=dIkdA26_HGyQ1PkB
Haya na Mohammad wenu, Hadithi ndiyo zinazidi kumuumbua kumbe alipandwa na mijidume usiku kucha. Na siyo kwamba walimlazimisha bali aliifuata mwenyewe. Kwanini hii hadithi hao waarabu wenu waliificha, hawakuitafsiri!? Na sasa Baadhi ya Waarabu waliouacha Uislamu ndiyo wanazifichua. Uislamu kwishneHiyo ndiyo Aya Yesu alikuambia umfuate yeye?
Umeleta Aya nyengine ya biblia, Yesu anakuambia umfuate?Haya na Mohammad wenu, Hadithi ndiyo zinazidi kumuumbua kumbe alipandwa na mijidume usiku kucha. Na siyo kwamba walimlazimisha bali aliifuata mwenyewe. Kwanini hii hadithi hao waarabu wenu waliificha, hawakuitafsiri!? Na sasa Baadhi ya Waarabu waliouacha Uislamu ndiyo wanazifichua. Uislamu kwishne
View: https://youtu.be/WB7Lfrt3fOw?si=fcjwxIh2FVBkMhlJ
Hizi story sijui zilitoka wapi,Ishmael kazaliwa mwaka 1727 BCE ,Mohammed kaja na uislam mwaka 610 CE Kuna gap la zaidi ya miaka 2000 kati ya Ishmael na muhamad iweje kusema Ishmael ndio baba wa muslimsIbrahim kupitia Hagar akamzaa Eshamel (uzao wa Waarabu na Moslem community)
Ibrahim kupitia Sarah akamzaa Isaac (Hapa pakazaliwa Imani mbili
1. Wayahudi (Jews) - hawa hawakuamini unabii kuwa Messiah atakuja kama mwanakondoo, waliamini na wanaamini kuwa Messiah atakuja kama Simba wa Yuda
2. Wakristo - hawa waliamini Unabii kuwa Messiah atakuja kama mwanakondoo mnyenyekevu, atasulubiwa, atakufa na kufufuka siku ya tatu, atapaa mbinguni, kisha atarudi tena Duniani kama Simba wa Yuda.
Mgawanyiko wa Imani hii kwa Wayahudi na Wakristo biblia imeueleza kwa kina kupitia Kitabu cha Isaya, sura ya 53.
Kila la heri mkuu
Hayo maneno ya Mwenyezi Mungu yalipotoshwa lini, wapi na akina nani?Ndugu yangu maswali yoote unayouliza majibu yake yapo kwenye Quran. Kama kweli una nia ya kutaka kujua ukweli basi nakusihi chukua vitabu vyote usome, anza na kitabu chako cha Injili, Taurati na Zaburi, kisha chukua Quran.
Maswali yote uliyo nayo yaandike na nina kuhakikishia kuwa majibu yako yote utayapata ndani ya Qurani. Quran imeelezea kwa kina jinsi wayahudi na wakristo walivyopotosha mafundisho kwa kubadilisha maneno ya Mwenyezi Mungu yaliyopo kwenye vitabu vyao.
Ili uelewe vizuri tafuta Quran yenye tafsiri ya Kiswahili na Quran yenye Tafsiri ya Kiingereza ukikwama kuelewa huku unarudi huku. Quran ni kitabu ambacho kipo clear sana kinaeleweka vizuri majibu yapo wazi.
Namuomba Mwenyezi Mungu atuongoze wote katika dini iliyo sahihi
Labda nikuulize wewe mwenyewe, ni kwa nini vitabu vyenu vya Biblia vimetofautiana kati ya dhehebu moja na lingine? Yaani hata huko kwenye Ukatoliki wenyewe wana version tofauti tofauti za Biblia, Anglikan nao wana version zao tofauti tofauti... Protestant vile vile....Hayo maneno ya Mwenyezi Mungu yalipotoshwa lini, wapi na akina nani?
Walipotosha maneno hayo ili iweje?
Mkuu hiyo sio nyeto, ni njia ya mwanamke kumridhisha mwanaume ile afikie lengo lake, ni sawa na mwanamke kuwa kwenye siku zake na wewe una hamu anaweza kutumia njia hiyo. Hiyo ni bora kuliko kukuacha ukaenda kuzini.Kuna mwanamke ukifanya nae mapenzi akichoka hali bado mwanaume yupo na mood anaanza tumia mikono yake kuchezea maumbile ya mwanaume ili akidhi haja za mwanaume Je na hii ni nyeto ama kitaalamu inaitwaje??
NakaziaSahoyo na shekuyo na vashiki va monu nyueni wari uuh na maruvaa mlye vose na mtainde bangara haa kaa wala fo mwai, varinge vana va motu piu vaininge mbora tsa monu, varulieni njia tsa mwavo, vavosire kibarueni, mtemeni, biashareni na choose verunda vafanikishe,
Wewe unaona ipi ni SAHIHIDini maarufu zaidi duniani yaani Uislamu, Ushahidi na Ukristo, inaonekana shina la Imani zake, limejengwa kumzunguka Ibrahim.
Dini zote hizo tatu zinamtambua Ibrahimu kama ni binadamu aliyekuwa anafuata maelekezo ya Mungu wanayemuamini.
Lakini dini hizo tatu kila Moja inaona dini nyingine zinamuelezea Ibrahim kinyume cha uhalisia wa maisha yao.
Ni dini ipi kati ya hizi tatu ndiyo iko sahihi kuhusu Ibrahim?
We jamaa unajifanya humjui ibraah kabisaaa 😂 😂 😂 😂Ibrahim Traole au
Angalia tu ipi I lianza, zilizofuata ni remix tuDini maarufu zaidi duniani yaani Uislamu, Ushahidi na Ukristo, inaonekana shina la Imani zake, limejengwa kumzunguka Ibrahim.
Dini zote hizo tatu zinamtambua Ibrahimu kama ni binadamu aliyekuwa anafuata maelekezo ya Mungu wanayemuamini.
Lakini dini hizo tatu kila Moja inaona dini nyingine zinamuelezea Ibrahim kinyume cha uhalisia wa maisha yao.
Ni dini ipi kati ya hizi tatu ndiyo iko sahihi kuhusu Ibrahim?
Nimekuuliza swali umeshindwa kujibu na umeamua kirudisha tena kwangu.Labda nikuulize wewe mwenyewe,
Tofauti zipo katika Biblia kutokana na tafsiri tofauti tofauti za wafasiri mbalimbali. Hizi tofauti ni ndogo ndogo ambazo hazipotoshi maana iliyokusudiwa.ni kwa nini vitabu vyenu vya Biblia vimetofautiana kati ya dhehebu moja na lingine? Yaani hata huko kwenye Ukatoliki wenyewe wana version tofauti tofauti za Biblia, Anglikan nao wana version zao tofauti tofauti... Protestant vile vile....
Na kila mmoja wenu anasema Biblia yake ndio sahihi. Labda nikuulize ilikuwaje kuwaje mpaka hizo Biblia zikatofautiana kama sio watu wanabadilisha maneno ya Mwenyezi Mungu? Ni nani aliyewapa ruhusa ya kubadilisha maneno ya Mwenyezi Mungu?
Ndugu, Quran zipo aina tofauti tofauti believe it or not!Be informed kwamba QURAN ipo moja tu dunia nzima, haijawahi kubadilishwa kwamwe. kama unabisha leta ambayo ni tofuti.
Ila we jamaaNa bado kina Ibra wote wanataabika tu humu Duniani.
Abraham Lincoln alipigwa chuma.
Ibrahim Traore anakaoswa koswa kuuwawa daily.
Ibra wa Konde gang ilibaki kiduchu aliwe jicho na boss wake.
Uislam na Mudi mwenyewe havijawahi kuwepo.Dini maarufu zaidi duniani yaani Uislamu, Ushahidi na Ukristo, inaonekana shina la Imani zake, limejengwa kumzunguka Ibrahim.
Dini zote hizo tatu zinamtambua Ibrahimu kama ni binadamu aliyekuwa anafuata maelekezo ya Mungu wanayemuamini.
Lakini dini hizo tatu kila Moja inaona dini nyingine zinamuelezea Ibrahim kinyume cha uhalisia wa maisha yao.
Ni dini ipi kati ya hizi tatu ndiyo iko sahihi kuhusu Ibrahim