Kati ya Uislamu, Uyahudi na Ukiristo, ni dini ipi ipo sahihi kuhusu Ibrahim?

Ukristu na Uyahudi maelezo yao juu ya Abraham yanafana. Zote mbili maelezo yao yanakinzana na yale ya Uislam kuanzia jina lenyewe la Abraham hadi imani yake
 
Ibrahim ni kielelezo cha mwanadamu anayeendelea kutafuta maana ya Maisha na mahusiano yake na vitu anavyodhani vinanguvu lakini visivyoonekana.

Dini kuu tatu zinamtambua, lakini kila moja humwelezea na kumtafsiri kwa mitazamo tofauti inayotokana na historia, tamaduni, na imani zao wao kama wao.

Hali halisi ya Ibrahim kama mtu wa kihistoria haijathibitishwa, na pengine haipo mahali popote isipokuwa ndani ya imani [Kuamini jambo bila ushahidi].

Labda swali halisi si ‘Ni dini gani sahihi kuhusu Ibrahim?

bali;

Je, tunawezaje kuelewa na kuishi Maisha yetu kwa njia inayoleta maana bila kupingana au kukosoana na mwingine?

Kwasababu Uhuru wa imani na kujua maana ya Maisha ni uwanja mpana sana ambao hautegemei tu mafunzo kulingana na dini au Historia.

Mstoiki.
 
Mimi nahisi huenda labda Wayahudi sasa si ndugu yao na kidogo wakristo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…