Kati ya Urusi na Marekani nani ana nguvu kubwa kijeshi?

Kati ya Urusi na Marekani nani ana nguvu kubwa kijeshi?

Ipo wazi marekani ndio mbabe:
1.kijeshi.
-utengenezaji,uuzaji wa silaha na usambazaji.
2.uchumi.
-Uchumi wa urusi ni sawa na uchumi wa jimbo moja tu U.S.A au akijitajidi sana mawili.
*Kiufupi kuifananisha U.S.A na urusi ni kama treni na bajaji.
 
ACHANA na USA ni hili Taifa ni number ingine . Kama anatoa tuu HIMARS 4 kwa Ukraine na zinamtesa huyu shuwani Putin , hapo unafikiriaje .
Screenshot_2022-09-29-18-48-46-823_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
 
1.Waulize wazungu kwa nini walianzisha Muungano wa wa kijeshj (NATO Nchi 28+USA tajiri zaidi duniani) dhidi ya nani??
2.Muulize USA kwa nini kila kukicha ananzisha military base za kijeshi kuizunguka Russia
Kwa hiyo Sadam Husein alikuwa na nguvu kuliko USA na NATO? Au tuseme Korea Kaskazini ina nguvu za kijeshi kupita USA na NATO? Unapokuwa na adui kichaa ni lazima kutumia kila mbinu kumkabili ili asikudhuru wewe na wanao. Adui dhaifu yeye hata Kama akirusha bomu la mafuta nyumbani kwako na akatimua mbio na nyumba yako ikaungua,kwake ni ushindi mkubwa. KWA HIYO UNACHOTAKIWA NI KUWEKA FENCE NDEFUUU NA KWENDA JUU NA ULINZI MKALI BOTH ARTIFICIAL AND NATURAL( CCTV CAMERA NK)
 
Wapwa naomba mnisaidie kushinda mabishano,et kati ya mrusi na mmarekan nani ana strong army yenye technologia ya silaha kubwa zaid,nan ana vifaa hatari vya vita,nan mbabe???
Nenda hata youtube tu andika military power comparison wanakuletea.
 
Back
Top Bottom