angalia tu uhalisia. Urusi inapigana na ukraine. Ukraine ni wazungu toleo la mwisho. sio nchi yenye nguvu kijeshi wala kiuchumi na wana share nae mpaka lakini hadi leo wanahangaika karibia mwaka unataka kupita. Af linganisha na iraq ambao walikua kati ya nchi zenye majeshi makubwa duniani wana uchumi mkubwa na walikua wako mbali na usa yan usa ilibidi asafirishe vifaa na wanajeshi wote kwa meli au ndege kwenda kupigana uwanja wa ugenini lakini hata miezi miwili haijafika usa kashalibomoa jeshi lote la iraq na wamechukua mji mkuu Baghdad. Wamebaki wanapigana na vikundi vidogo vya kigaidi. Urusi unaweza kufananisha na nchi kama hii?
Yaani ww umekurupuka kwanza iraq asimia kubwa ya wananchi walikua hawamtaki sadam,pili nitajie nchi zilizojitokeza kumsupport iraq, tatu nitajie nchi zilizoungana na marekani kumshinda sadam
Ni kama tanzania tulivyoshinda vita ya kagera ni baada ya wananchi wengi wa uganda kusupport wanajeshi wa TZ lakini ingekua tofaut tusingeiweza uganda kirahis