Mwanasiasa mtata
JF-Expert Member
- Oct 25, 2022
- 1,520
- 3,781
G7 ni group la wahuni tu waliojichagua. Kungekuwa kuna ukweli kama wanavyojitangaza, kwa uchumi wa China iisingekosekana kuwa memberUrusi hata G 7 tu hayupo unamlinganishaje na USA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
G7 ni group la wahuni tu waliojichagua. Kungekuwa kuna ukweli kama wanavyojitangaza, kwa uchumi wa China iisingekosekana kuwa memberUrusi hata G 7 tu hayupo unamlinganishaje na USA
Aliosababisha machafuko Libya ni nani. Shetani mkuu USA anatumiaga kigezo cha kulinda amani. Huku nyuma ya pazia anatolosha rasilimali za nchi husika. Akishatosheka na wizi, anafanya tukio alafu anasepaUSA wangekuwa vichaa wasiojali uchumi wao kama huyo nguruwe Urusi bas we kimah usingeku umetype ujinga huu muda ungekuwa imekondeana kwa njaa umejificha mapangoni., na ndivo mliiterekeza LIBYIA hlf sasa hv mnajitia huruma kwa Libyia , hamsaidii kuilinda amani bali mnafikra za machafuko halafu hamuez kupigana
Hujajibu swali lake1.Waulize wazungu kwa nini walianzisha Muungano wa wa kijeshj (NATO Nchi 28+USA tajiri zaidi duniani) dhidi ya nani??
2.Muulize USA kwa nini kila kukicha ananzisha military base za kijeshi kuizunguka Russia
Hata almasi pia ni chache kwa mchanga lakini inathamani kubwa kuliko mchanga wenyewe, so usiangalie GDPChek gdp zao ndio uje hapa nadhani jibu utalioata huko.
#MaendeleoHayanaChama
Mani kaliteua tena?RUSSIA TAIFA TEULE
Lete wewe za kwakoNaona mnadaganyika sana na cinema. Mambo ya majeshi yana usiri mkubwa sana. Inasikitisha kuona nyumbu wakibishana mambo ya majeshi kwa kutegemea information zinazopatikana kwenye media kama YouTube
Urusi ikiingia marekan n sawa na JimboWapwa naomba mnisaidie kushinda mabishano, kati ya Mrusi na Mmarekan nani ana strong army yenye technolojia ya silaha kubwa zaidi, nani ana vifaa hatari vya vita, nani mbabe?
Endeleeni tu kujilisha upepo. Tufanye majaribio. Tuweke sanctions kwenye jimbo moja kati ya hayo majimbo manne yenye uchumi mkubwa alafu tuone kama dunia itatingishika kiuchumi kama ilivyotingishika baada yaa kuiwekea Russia sanctionsUrusi ikiingia marekan n sawa na Jimbo
Marekan ina majimbo manne yenye uchumi mkubwa kuliko Urus
Hii user name yako mkuu, Pale ulipoandika "Putini bodgurd" ulimaanisha 'Putin bodyguard'?.Naona mnadaganyika sana na cinema. Mambo ya majeshi yana usiri mkubwa sana. Inasikitisha kuona nyumbu wakibishana mambo ya majeshi kwa kutegemea information zinazopatikana kwenye media kama YouTube
Na hapo russia ana kila aina ya resource.Urusi ikiingia marekan n sawa na Jimbo
Marekan ina majimbo manne yenye uchumi mkubwa kuliko Urus
Linganisha military budget zao kwa mwaka ndio utajua russia ni mwanasesere tu kwa US
Aircraft hiyo ya Russia ni tia maji, inapumulia mashine, imechoka sana.Kwamujibu wa takwimuView attachment 2399710
Kwa hiyo Sadam Husein alikuwa na nguvu kuliko USA na NATO? Au tuseme Korea Kaskazini ina nguvu za kijeshi kupita USA na NATO? Unapokuwa na adui kichaa ni lazima kutumia kila mbinu kumkabili ili asikudhuru wewe na wanao. Adui dhaifu yeye hata Kama akirusha bomu la mafuta nyumbani kwako na akatimua mbio na nyumba yako ikaungua,kwake ni ushindi mkubwa. KWA HIYO UNACHOTAKIWA NI KUWEKA FENCE NDEFUUU NA KWENDA JUU NA ULINZI MKALI BOTH ARTIFICIAL AND NATURAL( CCTV CAMERA NK)
Mimi na warusi wenzangu wa Namtumbo.
Nenda hata youtube tu andika military power comparison wanakuletea.
Ukitaka kujua USA ndio kila kitu hapo unapochat engine inayokuwezesha kuchat ipo na kuwezeshwa na USA, Russia hana kitu
Naona mnadaganyika sana na cinema. Mambo ya majeshi yana usiri mkubwa sana. Inasikitisha kuona nyumbu wakibishana mambo ya majeshi kwa kutegemea information zinazopatikana kwenye media kama YouTube
Choka Mbaya ni kikundi cha mziki cha akina Profesa J.Lazima ujue US nj mabingwa wa propaganda so YouTube ni yao sio kila utakacho kiona ni kweli
Mwanzoni mwa vita vya ukrain biden aliulizwa kama marekani itaingia vitan kuosaidia ukarain
Biden alisema haoni sababu ya kufanya hivyo coz wanadeal na one of the most powerful military in the world
Alaf ww choka mbaya unawachukulia Russia poa
Urusi ni namba 1 angalia silaha za kisasa za nato zinavyo chapwa huko ukraine na silaha za zaman za kisoviet
Marekani ina jeshi kubwa lakini wanajesh wake wengi ni waoga ukweli mchungu marekani haiwezi kufua dafu hata kwa waasi wa yemen
Jamaa wana histori ya kupigwa mpaka na wasomalia