Kati ya Urusi na Marekani nani ana nguvu kubwa kijeshi?

Kati ya Urusi na Marekani nani ana nguvu kubwa kijeshi?

Wapwa naomba mnisaidie kushinda mabishano,et kati ya mrusi na mmarekan nani ana strong army yenye technologia ya silaha kubwa zaid,nan ana vifaa hatari vya vita,nan mbabe???
Umeshajiuliza kwa nini hawamtandiki kijeshi Urusi?
Kama wanamwogopa kwa nyuklia mbona wao wanazo?
 
Majibu utayapata, maadamu wote wapo ulingoni. Nato + USA mzigoni na Urusi.maana wengine nguvu zao za mtandaoni, wengine on ground!
Maadamu vitendo vipo ngoja tuone.
 
Tatizo swali linaulizwa kwa Warusi wa Buza, Mpalange. Hawana data!



Mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi duniani mwaka huu

29 Septemba 2020

Jarida la kimataifa la Firepower' ambalo huwa linalinganisha uwezo wa vikosi vya majeshi duniani kila mwaka , limetoa orodha ya mataifa 138 pamoja nguvu walizo nazo.

Ripoti hiyo imeangalia idadi ya silaha, jeshi na rasilimali fedha ambazo nchi hizi hutumia katika operesheni za kijeshi.
mimiafasi ya kwanza katika orodha huwa haibadiliki kila mwaka . Ingawa baadhi ya nchi huwa zna uwezo tofauti kila mwaka.


Mataifa manne ambayo hayajabadilika katika nafasi zake kwa miaka ya hivi karibuni ni pamoja na:

1- Marekani

2- Urusi

3- China

4 India

Uturuki ikiwa imeshuka



CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES

Kwa mara ya kwanza tangu mwaka huu uanze, Uturuki imekuwa ikishuka katika orodha ya mataifa kumi bora yenye majeshi yenye nguvu.Lakini Misri imeweza kufikia kumi bora, na kuiweka miongoni mwa taifa lenye jeshi bora zaidi duniani.

Barani Afrika, taifa la Misri ndilo linaloongoza huku likiwa katika nafsi ya tisa ulimwenguni

Mataifa mengine ni:

5- Japan

6- Korea Kusini

7- Ufaransa

8- Uingereza

9- Misri

10- Brazil

Kwa miaka miwili iliyopita, Uturuki ilikuwa inachukua nafasi ya tisa wakati miaka mingine ya nyuma taifa hilo lilikuwa nafasi ya nane, lakini mwaka huu imekuwa ya 11.

Ushawishi wa Saudia



CHANZO CHA PICHA,AFP

Maelezo ya picha,

Karibu mataifa yote 25 ya mwanzo hayajafanya mabadiliko makubwa .

Baadhi yameshuka viwango kidogo wakati mengine yakiwa hayana ongezeko lolote .

Lakini miongoni mwa mabadiliko makubwa zaidi kwa mwaka huu ni Saudi Arabia kuwa miongoni mwa orodha ya juu zaidi kwa mara ya kwanza.

Himaya hiyo inayoongozwa na mfalme Salman bin Abdulaziz imefika namba 17 huku Israel ikiwa namba 18 katika orodha ya mataifa yenye nguvu zaidi duniani.

Mwaka 2016, Saudi Arabia ilikuwa namba 24 huku Israel ikiwa inashika namba 16 katika orodha.

Mwaka uliofuata, 2017, Saudi Arabia ilibaki kuwa nafasi ya namba 24th huku Israel ikiwa nafasi ya 15.

Mwaka 2018, Saudi Arabia ilitoka katika orodha ya 25 bora lakini Israel ilishika nafasi ya 16.



CHANZO CHA PICHA,AFP

Maelezo ya picha,

Mwaka jana 2019, Saudi Arabia ilijitahidi mpaka ikachukua nafasi ya 25 wakati Israel ikiwa nafasi ya 17.

Mataifa bora 25 katika orodha ni pamoja na :

11- Uturuki

12- Italia

13-Ujerumani

14-Iran

15- Pakistan

16- Indonesia

17- Saudi Arabia

18-Israel

19- Australia

20- Hispania

21- Poland

22- Vietnam

23- Thailand

24- Canada

25. Korea Kaskazini


BBC
 
Ukitaka kujua USA ndio kila kitu hapo unapochat engine inayokuwezesha kuchat ipo na kuwezeshwa na USA, Russia hana kitu
 
Hapa nimeona India nafasi ya nne lkn ukiangalia takwimu India ni mnunuzi no, 1 wa siraha za Russia

Kama haitoshi Saudia anamtegemea zaidi US kwa siraha je yupo no ngapi?

Jambo lingine kuna nchi zimewekwa mwishoni sana kama North Korea lkn nguvu yao sio kitoto hususani kwa vita za kileo

Ukweli ni kwamba tukutane uwanjani sio mtandaoni
 
Hahahaaa!!! Hakuna swali hapo watu wamejionea kule UKRAINE kamasi zinavyo mtoka uko Russia
 
angalia tu uhalisia. Urusi inapigana na ukraine. Ukraine ni wazungu toleo la mwisho. sio nchi yenye nguvu kijeshi wala kiuchumi na wana share nae mpaka lakini hadi leo wanahangaika karibia mwaka unataka kupita. Af linganisha na iraq ambao walikua kati ya nchi zenye majeshi makubwa duniani wana uchumi mkubwa na walikua wako mbali na usa yan usa ilibidi asafirishe vifaa na wanajeshi wote kwa meli au ndege kwenda kupigana uwanja wa ugenini lakini hata miezi miwili haijafika usa kashalibomoa jeshi lote la iraq na wamechukua mji mkuu Baghdad. Wamebaki wanapigana na vikundi vidogo vya kigaidi. Urusi unaweza kufananisha na nchi kama hii?
 
Wapwa naomba mnisaidie kushinda mabishano, kati ya Mrusi na Mmarekan nani ana strong army yenye technolojia ya silaha kubwa zaidi, nani ana vifaa hatari vya vita, nani mbabe?
Anayeshinda ndio ananguvu kubwa
 
Wapwa naomba mnisaidie kushinda mabishano, kati ya Mrusi na Mmarekan nani ana strong army yenye technolojia ya silaha kubwa zaidi, nani ana vifaa hatari vya vita, nani mbabe?
Urusi hata G 7 tu hayupo unamlinganishaje na USA
 
Acha kuifananisha Marekani na vitu vya ajabu ajabu. Urusi labda umfananishe na South Africa.
 
1.Waulize wazungu kwa nini walianzisha Muungano wa wa kijeshj (NATO Nchi 28+USA tajiri zaidi duniani) dhidi ya nani??
2.Muulize USA kwa nini kila kukicha ananzisha military base za kijeshi kuizunguka Russia
kwann Russia hakuwa na muungano wa kijeshi ? kwann Russia asianzishe kambi za kijeshi kuizunguka USA ?
 
Umeshajiuliza kwa nini hawamtandiki kijeshi Urusi?
Kama wanamwogopa kwa nyuklia mbona wao wanazo?
unahisi kila mtu kichaa km nyiny, ukilipwa laki 5 na ukaona nyumba nzur ya kupanga laki 3 kwa mwezi unasema Pesa ninazo ngoja nipange nyumba ya laki 3 wkt mshahara laki 5 , DUNIANI UKIISHI BILA MIPANGO HUTOBOI
 
Majibu utayapata, maadamu wote wapo ulingoni. Nato + USA mzigoni na Urusi.maana wengine nguvu zao za mtandaoni, wengine on ground!
Maadamu vitendo vipo ngoja tuone.
mwezi wa 9 sasa tunaenda , walisema saa 72 , bado unahisi ni nguvu za mtandaoni
 
Naona mnadaganyika sana na cinema. Mambo ya majeshi yana usiri mkubwa sana. Inasikitisha kuona nyumbu wakibishana mambo ya majeshi kwa kutegemea information zinazopatikana kwenye media kama YouTube
sawa bodgurd wa Putin , ila acha ubish wa kijinga bisha na hoja
 
Urusi ni namba 1 angalia silaha za kisasa za nato zinavyo chapwa huko ukraine na silaha za zaman za kisoviet

Marekani ina jeshi kubwa lakini wanajesh wake wengi ni waoga ukweli mchungu marekani haiwezi kufua dafu hata kwa waasi wa yemen

Jamaa wana histori ya kupigwa mpaka na wasomalia
USA wangekuwa vichaa wasiojali uchumi wao kama huyo nguruwe Urusi bas we kimah usingeku umetype ujinga huu muda ungekuwa imekondeana kwa njaa umejificha mapangoni., na ndivo mliiterekeza LIBYIA hlf sasa hv mnajitia huruma kwa Libyia , hamsaidii kuilinda amani bali mnafikra za machafuko halafu hamuez kupigana
 
Back
Top Bottom