Kati ya Urusi na Marekani nani ana nguvu kubwa kijeshi?


Yaani ww umekurupuka kwanza iraq asimia kubwa ya wananchi walikua hawamtaki sadam,pili nitajie nchi zilizojitokeza kumsupport iraq, tatu nitajie nchi zilizoungana na marekani kumshinda sadam

Ni kama tanzania tulivyoshinda vita ya kagera ni baada ya wananchi wengi wa uganda kusupport wanajeshi wa TZ lakini ingekua tofaut tusingeiweza uganda kirahis
 
mwezi wa 9 sasa tunaenda , walisema saa 72 , bado unahisi ni nguvu za mtandaoni

Kwani hadi saiv unahisi nani ameshinda


Unahisi anaepata hasara nj nani maana kila siku anadundwa
 
Una tambo za kitoto sana.
 
Aliosababisha machafuko Libya ni nani. Shetani mkuu USA anatumiaga kigezo cha kulinda amani. Huku nyuma ya pazia anatolosha rasilimali za nchi husika. Akishatosheka na wizi, anafanya tukio alafu anasepa
hv Boris angeng'ang'ania madaraka km ASSAD au GHADAF , je UK ingekuwa salama ?
 
Uchumi mzima wa russia ni budget ya jeshi ya mwaka mmoja ya marekan

Acha bange kenge ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…