proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
- Thread starter
- #61
Three suitors one husband
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kizuri au kitamu?Kitamu au hatari
Kitamu..Kizuri au kitamu?
Kwa kweliNdoto ya kimweri
Visa vya Rudi vinasisimua."Sitaogopa" by Rudi Lack
" A Grain of wheat" Ngugi Wa Thiongo
"Betrayal in the city"
Visa vya Rudi vinasisimua.
Mimi nimesoma toleo lake la Kiingereza.
Breakthrough: Taking Gospel through hidden borders.
Well, vitabu vingi nimesoma toka mwaka umeanza. Vingi vinamaudhui mazuri. Vinavutia kusoma.
1. Roots of Conflict in Africa, Causes and Costs - kimeandikwa na jopo la wasomi toka taasisi za elimu tofauti.
2. For this Cross I will kill you - Bruce Olson
3. Gideon Spies - Gordon Thomas
4. Dead Aid - Dambisa Moyo (hiki nimesoma mwaka jana na sasa nakirudia tena)
5. Dreams from my father - Barack Obama
Nimeandika sijazingatia mtoa mada alitaka nini kwenye uzi wake.
Nilifurahi kuona umemsoma Rudolf
Mji wa NaweEnzi nipo shule ya msingi nilikua napenda kusoma vitabu vyenye hadithi tamu sana ila ukiangalia vitabu vya enzi hizi hakuna kitabu kinachonipa hamasa ya kukisoma
Enzi hizo nilisoma hadithi kv tamu kv.
Sizitaki mbichi hizi.
Sadiki na chitemo[emoji28]
Mzee tola
Mua wazamisha meli bukoba
Faraja mchoyo.
We unakumbuka hadithi ipi iliokufurahisha enzi izo?

"90 minutes at Enttebe"Kuna vitavu vitamu (kwa burudani tu) na vingine MUHIMU katika maisha
Vitabu VITAMU nimesoma vingi sana ila kati ya vitabu MUHIMU (kuna tofauti hapo...) as far as I am concerned na vilivyonibadilisha mtazamo wangu katika maisha ni ''The Magic of Thinking Big'', ''Poor Dad, Rich Dad'', ''The Success Principles'' na ''How to Win Friends and Influence People''. I learnt some simple yet powerful techniques ambazo zimenisaidia mno kazini na kwenye biashara zangu kuvuka malengo flani.
Zamani nilikuwa nasoma sana Novels, hasa za David Baldacci, ila siku hizi naona kama napoteza muda kusoma Fictions wakati kuna personal development books ambazo napaswa kusoma. Well, labda nimeanza kuzeeka.
"This is Living and Other Stories"Kuna vitavu vitamu (kwa burudani tu) na vingine MUHIMU katika maisha
Vitabu VITAMU nimesoma vingi sana ila kati ya vitabu MUHIMU (kuna tofauti hapo...) as far as I am concerned na vilivyonibadilisha mtazamo wangu katika maisha ni ''The Magic of Thinking Big'', ''Poor Dad, Rich Dad'', ''The Success Principles'' na ''How to Win Friends and Influence People''. I learnt some simple yet powerful techniques ambazo zimenisaidia mno kazini na kwenye biashara zangu kuvuka malengo flani.
Zamani nilikuwa nasoma sana Novels, hasa za David Baldacci, ila siku hizi naona kama napoteza muda kusoma Fictions wakati kuna personal development books ambazo napaswa kusoma. Well, labda nimeanza kuzeeka.
The man of the people
"This is Living and Other Stories"