Kati ya vitabu vitamu nilivyowahi kuvisoma

Kuna mtu anakifaham kitab kinaitwa utengano kimeandikwa na mkenya I don't know the author's name af nlikipoteza SA cjui ntapata wap kingne
 
"Sitaogopa" by Rudi Lack
" A Grain of wheat" Ngugi Wa Thiongo
"Betrayal in the city"
Visa vya Rudi vinasisimua.

Mimi nimesoma toleo lake la Kiingereza.

Breakthrough: Taking Gospel through hidden borders.

Well, vitabu vingi nimesoma toka mwaka umeanza. Vingi vinamaudhui mazuri. Vinavutia kusoma.

1. Roots of Conflict in Africa, Causes and Costs - kimeandikwa na jopo la wasomi toka taasisi za elimu tofauti.

2. For this Cross I will kill you - Bruce Olson

3. Gideon Spies - Gordon Thomas

4. Dead Aid - Dambisa Moyo (hiki nimesoma mwaka jana na sasa nakirudia tena)

5. Dreams from my father - Barack Obama

Nimeandika sijazingatia mtoa mada alitaka nini kwenye uzi wake.

Nilifurahi kuona umemsoma Rudolf
 
Kwa kweli mkuu. Natafuta sana hicho kitabu "SITAOGOPA" bila mafanikio. Nilipoteza Copy yangu
 
Enzi nipo shule ya msingi nilikua napenda kusoma vitabu vyenye hadithi tamu sana ila ukiangalia vitabu vya enzi hizi hakuna kitabu kinachonipa hamasa ya kukisoma

Enzi hizo nilisoma hadithi kv tamu kv.
Sizitaki mbichi hizi.

Sadiki na chitemo[emoji28]

Mzee tola
Mua wazamisha meli bukoba

Faraja mchoyo.

We unakumbuka hadithi ipi iliokufurahisha enzi izo?
Mji wa Nawe
Kuku mweusi na Kenge
Mfalme ana masikio marefu kama ya Punda
Na vingine viiiiingi!! dooh, bi Kubwa enzi hizo alivileta home vitabu vingii sana nikasoma vyoote
 
Kuna vitavu vitamu (kwa burudani tu) na vingine MUHIMU katika maisha

Vitabu VITAMU nimesoma vingi sana ila kati ya vitabu MUHIMU (kuna tofauti hapo...) as far as I am concerned na vilivyonibadilisha mtazamo wangu katika maisha ni ''The Magic of Thinking Big'', ''Poor Dad, Rich Dad'', ''The Success Principles'' na ''How to Win Friends and Influence People''. I learnt some simple yet powerful techniques ambazo zimenisaidia mno kazini na kwenye biashara zangu kuvuka malengo flani.

Zamani nilikuwa nasoma sana Novels, hasa za David Baldacci, ila siku hizi naona kama napoteza muda kusoma Fictions wakati kuna personal development books ambazo napaswa kusoma. Well, labda nimeanza kuzeeka.
"90 minutes at Enttebe"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"This is Living and Other Stories"
The man of the people

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom