The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Ongeza vigezo babu. Durability, fuel consumption, availability of spare parts and prices, comfort, off road handling, etcHizo harrier ni nyepesi sana kwenye high speed, usipokuwa makini inakutupa..Go for VW
Ongeza vigezo babu. Durability, fuel consumption, availability of spare parts and prices, comfort, off road handling, etc
Zote hizo VW iko njema sana ila ishu ya fuel consumption inategemea na ukubwa,uzee wa engine na sometimes uendeshaji wetu na service piaOngeza vigezo babu. Durability, fuel consumption, availability of spare parts and prices, comfort, off road handling, etc
OkayKwa usalama wa maisha na afya ya akili nakushauri chagua Harrier...
Spare parts sake zinapatikana kirahisi na mafundi ni wengi pia.Hapo kwenye Touareg mafundi ni wachache ma spare ni bei changamsha akili kweli kweli.
[emoji1541][emoji1541][emoji1541]Chukua Vw aisee...tatizo wabongo tunaangalia cjui spare ghali na ukutaka kuuza cjui utahangaika sana...vipuri vya Vw vipo sana tu,bei kuchangamka sio inshu..inshu ni kuwa vipuri vinapatikana...toeni uoga ku crem Toyota aisee
Kwa usalama wa maisha na afya ya akili nakushauri chagua Harrier...
Spare parts sake zinapatikana kirahisi na mafundi ni wengi pia.Hapo kwenye Touareg mafundi ni wachache ma spare ni bei changamsha akili kweli kweli.
Yaani hapa ni kama kumfananisha Kati ya kajala (Volkswagen) na sista P (harrier)......
Kajala ana kitu unachohitaji Kwa matumizi ya barabaran Achana na Hilo Toyota hakuna kitu chochote cha ziada
Yaani hapa ni kama kumfananisha Kati ya kajala (Volkswagen) na sista P (harrier)......
Kajala ana kitu unachohitaji Kwa matumizi ya barabaran Achana na Hilo Toyota hakuna kitu chochote cha ziada
Nipo mkuuMzee upo?
Nipo mkuu
Nimetoka kwenye VW mda huu zile gari aisee.. kuna jamaa yangu aliniachia.. yaani dah.. 🙂.. kitu kimenyooka hadi rahaHabari wakuu.
Nataka kununua gari, naomba mawazo ya uzoefu kati ya Harrier macho ya panzi na Vokswagen Touareg ni ipi nzuri ya kuchukua.
Sina uzoefu wowote wa magari ya Volkswagen.
Natanguliza shukrani.