Kati ya Volkswagen Touareg na Harrier macho ya panzi ipi gari nzuri hapa?

Humu watu watakupoteza. Wengine hiyo harrier wanayo iponda wanaionaga kwa macho tu. Chukua Harrier Lexus mpyaaaa. Chukua Black.

Ikiona vp kama una mpungaa Tafuta Nissan Ex Trial New model au Klugger Ule maisha iyo VW itakusumbua na sio Luxury Car wala nn.

Ova
 
Unless kma hujawahi kuiendesha wala kukaa ndani, Touareg ni luxury SUV.

Pia kuna tofauti kati ya Toyota Harrier na Lexus RX300. Ni gari mbili tofauti kuanzia class mpk bei, sijajua unamshauri kwenye ipi?
 
Ilo lidude litamsumbua
 
Back
Top Bottom