Kati ya Volkswagen Touareg na Harrier macho ya panzi ipi gari nzuri hapa?

Ushauri wangu: Usinunue aina ya gari kwasababu uliona tu fulani anayo ama kwasbb tu unaona ndo ipo kwenye chat. Utakuja jutia..

Kama unataka nunua gari na hali yako kiuchumi ama uwezo wa kilihudumia gari ni mdg. Basi nunua harier. Ila km uko vzr kwenye pesa za maintainance etc. Chukua VW
Eeh kama ana Million 2-3 za hapa na pale basi VW itakua gari bora zaidi kwake.

Hili ni angalizo tu ili asije hapa baada ya miezi 6 kuulizia MAF Sensor ya Touareg anaipataje maana kamaliza maduka yote Ilala.
 
Kwani factors zipi mtu anatakiwa kuzingatia kabla ya kufanya maamuzi kununua gari? Usiangalie jirani, rafiki au ndugu anamiliki gari gani, nadhani uangalie UCHUMI wako kwanza, nature ya barabara za kwenu na zingine za muhimu.
 
Wengine hatuangalii hayo yote. Tunanunua kitu roho inapenda.
 
Hizi VW Toureg mbona tunatishwa sana, hebu mlizonazo humu mtuambie ukweli maana nishasikia kwamba ukiwa nayo matengenezo lazima uende DTDobie/CFAO maana mafundi wa mtaani wanaharibu sasa bei za huko CFAO unaweza nunua passo, pia mafuta consumption wenye nazo wanasema ipo juu sana.

Cha kushangaza zinazidi kuwa nyingi tu hizo na Landrover discovery sasa sijui uhalisia ukoje au mlizonazo mnataka muwe 'wachache" tu.
 
Wabongo hua tunapenda kutishana tuu ukiwasikiliza wabongo hutafanya kitu.
 
VW Touareg imetulia sana mkuu Harrier nyepesi ikikolea usipokuwa makini inakutupa haina stability sana
 
Back
Top Bottom