Kati ya Volkswagen Touareg na Harrier macho ya panzi ipi gari nzuri hapa?

Vw touarage ni habari nyingine kabisa.........sema umasikini wetu tu
 
Wewe chukua tu kama mfuko unaruhusu, asikutishe mtu.
 
Habari wakuu.

Nataka kununua gari, naomba mawazo ya uzoefu kati ya Harrier macho ya panzi na Vokswagen Touareg ni ipi nzuri ya kuchukua.

Sina uzoefu wowote wa magari ya Volkswagen.

Natanguliza shukrani.
Touareg iko vzr tatizo ni reliability for long run kwa bei hyo ungelinganisha touareg na Toyota Highlander (klugger mpya)
 
Ina kilometer ngap sahv, dada yng alinunua Range rover sport, baada ya miaka miwil engine ikazingua akaagiza mpya, apo ni baada ya kitu vidogo vidogo ka miguu kusumbua, alinunua used from US, ina mealage ya 70000s sahv

Watu weng hununua toyota si kwa spear zake bali reliability yke
 
Lexus nx( version ya harrier)ndo nzr sana kwa muonekano ila harrier muonekano wake sio kivile
 
Gar za kawaida ila ride quality yake ni nzr, shida wabongo hawajui kutofautisha, unakuta mtu anatoka kwenye toyona calina T.I Anaingia bmw ama benz anaanza kuponda magar ya mjapan, au anatoka gar ya engine ndogo anaingia engine kubwa na kuponda speed ya engine ndogo ila anacholalamika ni kimoja kwenye ulaji wa mafuta, tatizo wabongo wenyewe hawajielewi
Au unakuta anaringanisha gari ya milion 20 na gari ya milion100
 
Sina gari.nimeziona harrier na vw tourage.vw muonekano wake ulinitoa mate kiukweli.uzuri wa gari sio injin tu hata muonekano jamani.sio muonekano kama wa sienta kaah!
 
Touareg iko vzr tatizo ni reliability for long run kwa bei hyo ungelinganisha touareg na Toyota Highlander (klugger mpya)
Unamaanisha nini mkuu, kwamba huko baadae VW sio reliable?
 
Gari ya zaidi ya 80M huwezi kuilinganisha na gari unayoweza kuiagiza kwa 20M

Linganisha Toureg na V8 sio Harrier.
 
Kama una nunua una malengo ya kuuza hapo baadae na Pochi sio nene chukua Harrier ila kama Pochi nene na huna malengo ya kuuza ...Chukua Mnyama German Machine Volkswagen upate burudani na ladha kamili ya gari.
Huwa nikitazama tu dashboard nafarijika speed odometer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…