Father of All
JF-Expert Member
- May 30, 2026
- 458
- 843
Katika angle ya uwajibikaji mwanaume ana msalaba mzito hasa kwa current systemsHoja nzuri,
Tupime kwa namna hii; Wanaume wanajilinda dhidi ya vitu gani ambavyo wanavifanya wanawake, na wanawake wanajilinda dhidi ya vitu gani ambavyo wanavifanya wanaume. Tunaweza kupata msingi mzuri wa tunachokiita hatari.
Ubakaji, physical violence, emotional manipulation, other kinds of abuse, divorce (ongeza)
VS
Abuse, emotional manipulation, divorce, feminists, gold diggers (ongeza)
Pia wanawake wanajilinda dhidi ya nini kwa wanawake wenzao vs wanaume wanajilinda dhidi ya nini kwa wanaume wenzao.
Ndio maana kwa upande wa risk zilizopo kwa wanaume nimeweka gold diggers (kwa maana anayekuwa expected kuchunwa ni mwanaume)Katika angle ya uwajibikaji mwanaume ana msalaba mzito hasa kwa current systems
Acha kutumia abuse na once in a while scenarios kuweka kwenye mizani. Mwanamke kubakwa na kufanyiwa vitu vibaya ni kwa bahati, ila mwanaume katika mapambano yake, anajikuta kaingia not by any chance.Ndio maana kwa upande wa risk zilizopo kwa wanaume nimeweka gold diggers (kwa maana anayekuwa expected kuchunwa ni mwanaume)
Refer mada iliyopo mezani toa maoni yako. Nani ni hatari au uhatari hauna gender.
The one who holds keys to your stomach, sex urge and emotional support always has leverage in context to risk and vulnerabilities.Ndio maana kwa upande wa risk zilizopo kwa wanaume nimeweka gold diggers (kwa maana anayekuwa expected kuchunwa ni mwanaume)
Refer mada iliyopo mezani toa maoni yako. Nani ni hatari au uhatari hauna gender.
Usifanye cherry picking, nimeweka abuse pande zote.Acha kutumia abuse na once in a while scenarios kuweka kwenye mizani. Mwanamke kubakwa na kufanyiwa vitu vibaya ni kwa bahati, ila mwanaume katika mapambano yake, anajikuta kaingia not by any chance.
Unachokisema kwa mwanamke kuwa prone kwa watu wabaya ilikuwa enzi hizo kabla ya sheria na tawala kuwepo, leo mtu a kitaka kubakwa anawazia jela tu. Ila kwa mwanaume katika mapambano yake tu, kuna mishale ya gold digger, kuna kutapeliwa, kuvamiwa, huwezi kuta mwanamke mstari wa Mbele kwenye vita, huwezi kuta mwanamke kwenye life or death scenes. So hiyo hoja yako ya kusingizia abuse ni uongo mtupu. Infact wanaoabuse siku hizi ni wanawake
Boss kiswahili… 🥹😭The one who holds keys to your stomach, sex urge and emotional support always has leverage in context to risk and vulnerabilities.
Sija cherry pick! anaye kuwa abused sio anayepitia magumu. Kila mtu duniani lazima apitie some sort of abuse, ila sio kwamba ndiye mbaya, atateseka au kupata challenge zaidi ya mwanaume.Usifanye cherry picking, nimeweka abuse pande zote.
Kiumbe hatari! Zaidi kati ya mwanamke na mwanaume...NI HICHI👇View attachment 3676696
Wanaume wamekuwa wakiongoza dunia kwa miongo mingi.
Walianzisha mfumo dume
Mwanaume humpa mimba mwanamke na azaapo, yeye huwamilki wote wawili.
Wanaume wengi japo si wote, wajinga na wabinafsi hulaumu wanawake kwa kila kitu.
Wanaume ni wengi kwenye mambo ya kivita kama majeshi.
Kwa kuzingatia wingi wao katika madaraka, wanaume wengi wanaongoza kwa kutenda maovu.
Ukiondoa dikteta mmoja muuaji, wengi wa wauaji ni wanaume.
Wanaume huwatongoza wanawake ingawa hata siku hizi wanawake aka mishangazi inawatongoza vijana kama vile mke wa Emanuel Macron rais wa Ufaransa.
Mabaa mengi yamejaa wanaume.
Magereza mengi yamejaa wanaume.
Wanaume huwadandia hata wanaume wenzao japo siku hizi wanawake nao pia wanasagana.
Msururu ni mrefu.
Naleta hoja.
Mkuu umeelezea vizuri sana, mtu anayejua kuna tu anatakiwa kula kwa ajili yake, anaye jua kuna mwanamke na watoto mgongoni mwake huyo ndo mwenye risk kubwa sana ya kuumiza.. Kimwili, kihisia mpaka kiakili.The one who holds keys to your stomach, sex urge and emotional support always has leverage in context to risk and vulnerabilities.
Hoja nzuri, mimi niliweka standard measurement ili nijenge hoja yangu hapo, ya uhatari wa Me au KE katika dunia.Sija cherry pick! anaye kuwa abused sio anayepitia magumu. Kila mtu duniani lazima apitie some sort of abuse, ila sio kwamba ndiye mbaya, atateseka au kupata challenge zaidi ya mwanaume.
Msemo wa wanaume kuumbiwa mateso hauwezi kupingwa milele maana nature yenyewe unataka hivyo.
Mwanaume pasipo pambana anakuwa kituko, na a katika harakati za kupambana pia ana risk vingi.
Huwa mnayafanya haya kwaajili ya wanawake +watoto? Sio kwamba mtu yeyote mtu mzima ni lazima apambane?Mkuu umeelezea vizuri sana, mtu anayejua kuna tu anatakiwa kula kwa ajili yake, anaye jua kuna mwanamke na watoto mgongoni mwake huyo ndo mwenye risk kubwa sana ya kuumiza.. Kimwili, kihisia mpaka kiakili.
Madini yaliyomo kwenye kitabu hiki ndio kumesababisha nitoe kwa lugha ya Malkia. Samahani kwa hilo.Boss kiswahili… 🥹😭
Haya nitatafuta samare yake.View attachment 3676872
Madini yaliyomo kwenye kitabu hiki ndio kumesababisha nitoe kwa lugha ya Malkia. Samahani kwa hilo.