Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,836
- 6,303
Nimejaribu kufikiria, kwa upande wangu naona wanaume wanapenda sana kutangaza wapenzi/wake wao. Yaani iwe kwa wema au ubaya. Utasikia mke wangu hajui kabisa kupika! Au yule demu akilala kama gogo!
Wanawake ni nadra sana kusema, wengi hustruggle kumbadili ili awe vile anavyotaka awe.
Au wewe mwana MMU unaonaje kwa upande huo?
Wanawake ni nadra sana kusema, wengi hustruggle kumbadili ili awe vile anavyotaka awe.
Au wewe mwana MMU unaonaje kwa upande huo?