Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamke kua na Mwanaume Huwa sio habari kwakua mmeumbwa kupendwa.Umeonaa ee.
Mi mwenyewe huwa nashangaa. Sijui kwanini wako hivyo?
Siwezi kukataa inategemea na mazingira! Ila ni nadra sana kusikia mwanamke anasema kwa mfano mme wangu ni mchafu au hajui chochote; lakini kwa mwanaume anaweza kusema tena kwa kuomba ushauri kwa wenzake wa namna ya kumuacha.mwanaume akiwa na pungufu dogo tu linalovumilika mwanamke anaweza waambia shosti zake karibia wote.....mfano labda anadaiwa mkopo......
hapo naona ni kweli 😂Siwezi kukataa inategemea na mazingira! Ila ni nadra sana kusikia mwanamke anasema kwa mfano mme wangu ni mchafu au hajui chochote; lakini kwa mwanaume anaweza kusema tena kwa kuomba ushauri kwa wenzake wa namna ya kumuacha.
WanawakeNimejaribu kufikiria, kwa upande wangu naona wanaume wanapenda sana kutangaza wapenzi/wake wao. Yaani iwe kwa wema au ubaya. Utasikia mke wangu hajui kabisa kupika! Au yule demu akilala kama gogo!
Wanawake ni nadra sana kusema, wengi hustruggle kumbadili ili awe vile anavyotaka awe.
Au wewe mwana MMU unaonaje kwa upande huo?
Sema kwa HERUFI KUBWAyule demu akilala kama gogo
Unajua hii tabia ya kujifanya wanawake humu kumbe ni wanaume mnaboa kishenzi sasa imekua kero haivutii,Umeonaa ee.
Mi mwenyewe huwa nashangaa. Sijui kwanini wako hivyo?