Kati ya wanawake na wanaume nani wanaongoza kutangaza madhaifu ya wenzao?

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,836
Reaction score
6,303
Nimejaribu kufikiria, kwa upande wangu naona wanaume wanapenda sana kutangaza wapenzi/wake wao. Yaani iwe kwa wema au ubaya. Utasikia mke wangu hajui kabisa kupika! Au yule demu akilala kama gogo!
Wanawake ni nadra sana kusema, wengi hustruggle kumbadili ili awe vile anavyotaka awe.

Au wewe mwana MMU unaonaje kwa upande huo?
 
Mimi napenda kutangaza madhaifu ya fake people tu iwe mpenzi, mshkaji n. K

Kama jina langu linavyosadiki I DONT WANT PEACE I WANT PROBLEMS ALWAYS

😁
 
Wanawake ndio wanaongoza katika kuzungumza kuhusu habari za maisha ya watu wengine achilia mbali waume zao.

Ni wanaume wachache Sana wenye tabia za hivyo na Mara nyingi wanakuwaga jobless hawana shughuli ya kufanya kazi kupiga stori za umbea tu.
 
Wanawake wana hatari
 
Wee jinsia gani,?
 
W

Wengi wanao tangaziana madhaifu yao niwale ambao hawapendani au tena wamegombana
 
Umeonaa ee.
Mi mwenyewe huwa nashangaa. Sijui kwanini wako hivyo?
 
duh... hapo sina uhakika kwa kweli....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…