Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Sasa nimeamini kuwa kadri elimu inavyoongezeka basi ujinga inapungua na nafasi yake kushikwa na upumbavu.
Kwenye haya makanisa ya kitapeli kuna wasomi wa level zote lakini huwaambii kitu kuhusu kiongozi wao.
Kabla ya vita ya UKRAINE sijasikia mtu wa Mungu yeyote aliyetabiri kwa uwazi mahali peupe kuhusu kuibuka kwa vita hii. Hata sasa hakuna yeyote aliyeweza kushika mike na kusema kinagaubaga hatma ya vita hii ya Ukraine.
Lakini kuna watu wanaitwa manabii, unabii wao huishia tu kuwaambia waumini pokea, mara naona safari, naona pesa zinakuja kisha waumini bila kujali elimu zao huitikia napokea.