Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Na waumini wanawapata wa kutosha na sadaka za kujimaliza wanatoa kisha kuanza kuuchapa mguu kurudi nyumbaniAcha utani, hawakuweza kutabiri kifo cha mkuu wa nchi sembuse Ukraine, be serious man
Na wangemtabiria hicho kifo mwendazake , angemtuma Makonda na wasiojulikana kama walivyoenda Clouds.Acha utani, hawakuweza kutabiri kifo cha mkuu wa nchi sembuse Ukraine, be serious man
Marehemu Moses Kulola nadhani alitabiri vita ya Urusi na Kuna clip niliwahi kuisikia nikashangaa kbs.Sasa nimeamini kuwa kadri elimu inavyoongezeka basi ujinga inapungua na nafasi yake kushikwa na upumbavu.
Kwenye haya makanisa ya kitapeli kuna wasomi wa level zote lakini huwaambii kitu kuhusu kiongozi wao.
Kabla ya vita ya UKRAINE sijasikia mtu wa Mungu yeyote aliyetabiri kwa uwazi mahali peupe kuhusu kuibuka kwa vita hii. Hata sasa hakuna yeyote aliyeweza kushika mike na kusema kinagaubaga hatma ya vita hii ya Ukraine.
Lakini kuna watu wanaitwa manabii, unabii wao huishia tu kuwaambia waumini pokea, mara naona safari, naona pesa zinakuja kisha waumini bila kujali elimu zao huitikia napokea.
Nani angethubutu kutabiri kifo Cha mungu mtu haki ya Nani angeuawa mchana kweupeAcha utani, hawakuweza kutabiri kifo cha mkuu wa nchi sembuse Ukraine, be serious man
Nitumie hapaMarehemu Moses Kulola nadhani alitabiri vita ya Urusi na Kuna clip niliwahi kuisikia nikashangaa kbs.
Sasa nimeamini kuwa kadri elimu inavyoongezeka basi ujinga inapungua na nafasi yake kushikwa na upumbavu.
Kwenye haya makanisa ya kitapeli kuna wasomi wa level zote lakini huwaambii kitu kuhusu kiongozi wao.
Kabla ya vita ya UKRAINE sijasikia mtu wa Mungu yeyote aliyetabiri kwa uwazi mahali peupe kuhusu kuibuka kwa vita hii. Hata sasa hakuna yeyote aliyeweza kushika mike na kusema kinagaubaga hatma ya vita hii ya Ukraine.
Lakini kuna watu wanaitwa manabii, unabii wao huishia tu kuwaambia waumini pokea, mara naona safari, naona pesa zinakuja kisha waumini bila kujali elimu zao huitikia napokea.
Mbona walitabiri.Acha utani, hawakuweza kutabiri kifo cha mkuu wa nchi sembuse Ukraine, be serious man
Hata Shillah?Sasa nimeamini kuwa kadri elimu inavyoongezeka basi ujinga inapungua na nafasi yake kushikwa na upumbavu.
Kwenye haya makanisa ya kitapeli kuna wasomi wa level zote lakini huwaambii kitu kuhusu kiongozi wao.
Kabla ya vita ya UKRAINE sijasikia mtu wa Mungu yeyote aliyetabiri kwa uwazi mahali peupe kuhusu kuibuka kwa vita hii. Hata sasa hakuna yeyote aliyeweza kushika mike na kusema kinagaubaga hatma ya vita hii ya Ukraine.
Lakini kuna watu wanaitwa manabii, unabii wao huishia tu kuwaambia waumini pokea, mara naona safari, naona pesa zinakuja kisha waumini bila kujali elimu zao huitikia napokea.
Nabii bongo!,ukiweza kujua udhaifu wa akili ya mwanadamu basi utatengeneza fedha!.. imani ni kama loop hole kwenye baadhi ya akili za watu fulanifulani zaidi,so ukipita vyema na ukaweza kulitumia dolari zitakufuata... Hili litakuja kuisha karne zijazo huko ma elites watakuwa wameshagundua hole jengine la kupigia watu..