Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,043
- 8,686
Ndo maana jamaa hawana shobo sana na youtube jamaa wanaweka ngoma tu alafu wanakomaa na huko kwingineYah nimeona.....Sasa Streams million 100 aisee ndio maana hawa kina Wizzy,Davido mkwanja wanao wakutosha[emoji119]