Kati ya Youtube na Spotify, Apple Music, Deez au Audiomark ni wapi wasanii wanalipwa zaidi?

Kati ya Youtube na Spotify, Apple Music, Deez au Audiomark ni wapi wasanii wanalipwa zaidi?

Yah nimeona.....Sasa Streams million 100 aisee ndio maana hawa kina Wizzy,Davido mkwanja wanao wakutosha[emoji119]
Ndo maana jamaa hawana shobo sana na youtube jamaa wanaweka ngoma tu alafu wanakomaa na huko kwingine
 
Youtube hailipi kwa views bali kwa matangazo(ads).

Inaweza kufika mpaka $3000 kama matangazo yalionekana kwa kila viewer.

Kuna methods kama tatu zinazo-determine mapato yako kulingana na uchaguzi wa advertiser.

Advertiser anaweza kulipa kwa
CPC - Cost Per Click hapa youtuber anapata pesa mpaka mtazamaji acklick link ya tangazo vinginevyo hakuna. Haya ndo yana mpunga nafuu.

CPV - Cost Per View, advertiser analipa iwapo mtazamaji ataangalia tangazo lote litakaloonekana kwenye video yako.

CPM - Cost Per Thousand Impression, hii inajielezea.

Mapatao pia yanaathiriwa na geographical location ya mtazamaji.

Kama channel yako haiko monetized kwa namna yoyote eg adsense hautotengeneza pesa yoyote hata kama una views bil 1.

Ili channel iwe monetized(kuwekewa matangazo) na adsense, inahitajika subscribers 1000 na watching hours 4000 kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Dah sijaelewa😢
 
Navyo jua ni hivi huwa wanapay watu kwenye channel zao kuanzia 1000 viewers ndio utalipwa kiasi cha dolla fulani kwahiyo unavyozidi kuwa na viewers 1 Million nk.. Ndio hela inavyo kuwa ndefu lakini hiyo ndio list ya web zinazo Lipa vizuri YouTube ni ya mwisho. View attachment 1411997
kwahiyo nyimbo ya Diamond yenye views mil 70 kaingiza Dolla elfu 51, inawalipa kumbe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah sijaelewa😢
Hujaelewa wapi?

Kiufupi, si kila channel ya youtube inalipwa pesa.

Na pesa youtube hailipi kutokana na idadi views bali idadi ya viewers ambao wameona tangazo, viewers walioclick tangazo pia na viewers waliongalia tangazo lilotokea kwenye video.

Kiasi unachokiingiza kinategemeana na advertiser(mwenye tangazo) njia ambayo ameichagua.

Ambazo nimeshazielezea.
CPM, CPV na CPC.

Kama channel haina matangazo ya kampuni ya google adsense hiyo channel hailipwi na youtube hata kama ina views bilioni 5.
 
Safi mkuu umejibu vizuri sana.Youtube wanalipa matangazo.Kwa hiyo kama unatazama Yope remix na haukutani na tangazo,au unali skip kuna possibility isilipwe pesa kabisa,au ikalipwa kidogo.
Deal ni hizo streams services kama spotify,tidal n.k tatizo kwa huku kwetu users ni wachache, na wasanii wetu kidogo wabishi.
 
kwahiyo nyimbo ya Diamond yenye views mil 70 kaingiza Dolla elfu 51, inawalipa kumbe

Sent using Jamii Forums mobile app
Haifiki mkuu, Diamond siku hizi ngoma zake kama hazina matangazo au kidogo sana,nadhani ali block,youtube anaitumia zaidi kama platform ya kupromote ngoma zake tu.Jamaa hela ni katika shows na endorsements.
 
Youtube unapata sifa mingi kuliko hela, thats why Tycoon Jay Z aliondoa ngoma kibao akusanye hela aachane na sifa cuz sifa alishazipata nyingi😃.Kahamishia ngoma katika Tidal yake then kuna catalogue aliieeka spotify.
Kuliko msanii kutumia nguvu youtube bora utumie nguvu mdundo na boomplay kwa sasa.Youtube iwe kuji promote tu
 
Haifiki mkuu, Diamond siku hizi ngoma zake kama hazina matangazo au kidogo sana,nadhani ali block,youtube anaitumia zaidi kama platform ya kupromote ngoma zake tu.Jamaa hela ni katika shows na endorsements.
Yeye mwenyewe anataja YouTube kama chanzo chake cha mapato wewe unakataa.. anyway..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi mkuu umejibu vizuri sana.Youtube wanalipa matangazo.Kwa hiyo kama unatazama Yope remix na haukutani na tangazo,au unali skip kuna possibility isilipwe pesa kabisa,au ikalipwa kidogo.
Deal ni hizo streams services kama spotify,tidal n.k tatizo kwa huku kwetu users ni wachache, na wasanii wetu kidogo wabishi.
Ndio maana mi naona bora kuwa na kitu cha kuuza mfano kama e-book halafu unatumia youtube channel kama moja ya sehemu ya promotion.

Kwa mtu anayeanza youtube ni changamoto kama hauna audience ya kutosha.

Ila nguvu anazotumia mtu youtube angekuwa anauza kitu, angepata faida nzuri kuliko hata google adsense.
 
Yeye mwenyewe anataja YouTube kama chanzo chake cha mapato wewe unakataa.. anyway..

Sent using Jamii Forums mobile app
Simpingi mkuu, yani nimechukulia kama pay ya kule haitegemei sana kwa sababu ya mitikasi waliyoileta katika hizo issue za matangazo.Kama kasema yeye basi sawa.I agree with him
 
Ndio maana mi naona bora kuwa na kitu cha kuuza mfano kama e-book halafu unatumia youtube channel kama moja ya sehemu ya promotion.

Kwa mtu anayeanza youtube ni changamoto kama hauna audience ya kutosha.

Ila nguvu anazotumia mtu youtube angekuwa anauza kitu, angepata faida nzuri kuliko hata google adsense.
Unajitahidi kuelekeza sema naona utakutana na changamoto ya mashabiki wa wasanii wetu hapa bongo.

Mana wao wengi wamezoea kushindana views za youtube kama ndio kigezo cha mtonyo au mafanikio kwa msanii kitu ambacho kibiashara sio kweli kwa msanii

Kiukweli youtube kwa wasanii sio kivile upande wa malipo labda wanao weza kutengeneza pesa ni watu wa tutorial, clip za michezo, na clip nyingine nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miongoni mwa vitu vinaisononesha nafsi yangu ni kufa kwa ile web wasafi.com, kama ningekuwa na pesa ningewekeza pale au kuinunua ile domain, ukipeleka idea tatizo unapotezwa au unapewa pay ndogo.
Wasafi ilitakiwa iuze music exclusive, na kubana other platforms zisiwe na kazi zao then na mambo machache goma lingeenda fasta,later wangeweza kufanya hata partnership au kuiuza kwa ma Tycoon kama hao Spotify🙆
 
Chief-Mkwawa hivi nnawezaje kuiweka Spotify kwenye kimeo changu, nilijaribu wanasema haiko available Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa android unaweza unadownload google afu unaenda playstore download super vpn unafake location uko kua upo ata usa newyork inakubali ndo natumia sana iko vzr kuliko ata audiomark

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kusubscribe pia wanapokea malipo?
 
Miongoni mwa vitu vinaisononesha nafsi yangu ni kufa kwa ile web wasafi.com, kama ningekuwa na pesa ningewekeza pale au kuinunua ile domain, ukipeleka idea tatizo unapotezwa au unapewa pay ndogo.
Wasafi ilitakiwa iuze music exclusive, na kubana other platforms zisiwe na kazi zao then na mambo machache goma lingeenda fasta,later wangeweza kufanya hata partnership au kuiuza kwa ma Tycoon kama hao Spotify🙆
hilo ni kweli kabisa hizi ndo kazi ambazo basata inabidi ifanye japo wasanii wapuuzi watapinga hili kwa kuhofia mziki wao utakufa
 
Kati ya Youtube na Spotify, Apple Music, Deez au Audiomark ni wapi wasanii wanalipwa zaidi?

Mfano Ngoma flani ya Wale ft Dua Lipa,Wizkid huko youtube ina views million 16.

Lakini Kwenye Spotify million 100 streams.

Ina maana Streams online ni kubwa kuliko Youtube?

Yote kwa yote wapi kuna faida kwa msanii wa WorldWide?
Wcb wanalipwa vizuri
 
Back
Top Bottom