Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Wamebanwa sasa wanataftiza visababu visivyo na maana, hilo darasa la wazee na watu wazima litafanyikia wapi! Katiba siyo lazima yote uijue kichwani bali unapokuwa na hitaji la kipengele fulani ndipo unachokitumia kutoka kwenye kitabu cha katiba kupitia wanasheria.Kwahiyo tukimaliza kupewa elimu, tutafanyishwa mitihani na watakao feli wataendelea kurudia mitihani ya katiba hadi nchi nzima na wanao zaliwa wafaulu mtihani wa katiba ndio tupate KATIBA MPYA
Utapataje elimu toka kwa mwalimu aliyekwisha kukuambia katiba haikuletei ugali mezani.Katiba ije Elimu itajulikana mbele
Ugali mezani ni udanganyifuUtapataje elimu toka kwa mwalimu aliyekwisha kukuambia katiba haikuletei ugali mezani.
Sasa hawa wanaowashawishi watu kwa hoja mfu ndio tunaambiwa watatuelimisha kuhusu katiba! CCM wameishiwa sababu za kuikataa katiba ndicho kinachowafanya wakimbilie kuwa wanatukanwa, huku matusi hayapo na watukanaji hawawajui.Ugali mezani ni udanganyifu
Na ikumbukwe,kila siku wanazaliwa Watanzania wapya.Vilevile kuna wale waliokuwa wakiishi nje ya nchi au waombao uraia ambao bila shaka watakuwa hawajapata tuisheni ya katiba.Sasa sijui hilo darasa litachukua karne ngapi?Viongozi wa CCM wamekuwa wakitu elezea kuwa ili katiba iwe na manufaa kwetu inabidi wananchi tuelimishwe hiyo katiba, hilo ni jambo jema.
Elimu hiyo yenye viwango vya chuo itatolewa na viongozi wa CCM ambao hatujui waliwezaje wao kusoma wakatusahau wananchi, hata hivyo darasa ni darasa wapo watakaopasi na watakaofeli, idadi ya watakao feli ikiwa kubwa ina maana lengo la wananchi kuijua katiba litakuwa halijafikiwa hivyo itabidi darasa lirudiwe tena mpaka tutakapo pasi!
Ninamalizia kwa kusema CCM hawana nia ya uwepo wa katiba mpya kutokana na mambo wanayoyafanya hivi sasa kwani wengi wao wamegeuka kuwa wafanyabiashara na huenda katiba itawabana huko tuendako.
TUME ya JAJI WARIOBA ilizunguka NCHI ZIMA na kutoa ELIMU na kugawa NAKALA za KATIBA na VIPEPERUSHI Kwa WananchiViongozi wa CCM wamekuwa wakitu elezea kuwa ili katiba iwe na manufaa kwetu inabidi wananchi tuelimishwe hiyo katiba, hilo ni jambo jema.
Elimu hiyo yenye viwango vya chuo itatolewa na viongozi wa CCM ambao hatujui waliwezaje wao kusoma wakatusahau wananchi, hata hivyo darasa ni darasa wapo watakaopasi na watakaofeli, idadi ya watakao feli ikiwa kubwa ina maana lengo la wananchi kuijua katiba litakuwa halijafikiwa hivyo itabidi darasa lirudiwe tena mpaka tutakapo pasi!
Ninamalizia kwa kusema CCM hawana nia ya uwepo wa katiba mpya kutokana na mambo wanayoyafanya hivi sasa kwani wengi wao wamegeuka kuwa wafanyabiashara na huenda katiba itawabana huko tuendako.
Watanzania mwalimu Nyerere alisema viongozi wa nchi wakiwa wafanyabiashara watawasahau wananchi, hiki ndicho kinatokea sasa ambapo viongozi wako bize kutafuta mipenyo ya kuendeleza biashara zao. Hii mipenyo ni kutengeneza namna za kujilinda na njia bora na yenye uhakika ni kuhakikisha nchi haina katiba inayoeleweka hivyo wananchi tunakosa nguvu ya kuwadhibiti.Anayeijua katiba anavunja katika, sasa hiyo elimu kwa asiyejua inamaana gani?
CCM kama alivyosema mzee Msuya hivi sasa ina watu ambao hawajui kuweka hoja kama walivyo Chadema na amewashauri wajifunze toka Chadema.Mbona kwenye kutunga sheria au kuzifanyia marekebisho huwa hawasemi hiyo elimu inahitajika kwanza?
Bora wangechagua kukaa kimyaa kuliko hayo waliyoyasema.TUME ya JAJI WARIOBA ilizunguka NCHI ZIMA na kutoa ELIMU na kugawa NAKALA za KATIBA na VIPEPERUSHI Kwa Wananchi
UKWELI USEMWE CCM HAITAKI KATIBA MPYA kwani DANADANA zimezidi
Hawawezi kukaa kimya kwa sababu wanaamini CCM ndio wenye nchi na wasemacho lazima kifuatwe, wamejisahau sana.Bora wangechagua kukaa kimyaa kuliko hayo waliyoyasema.
Katiba ya sasa bado ni nzuri sana tu kwa sasa tuwasaidie watu wetu kipata huduma zote kwa viwango vizuri Chini ya Serikali ya CCMTUME ya JAJI WARIOBA ilizunguka NCHI ZIMA na kutoa ELIMU na kugawa NAKALA za KATIBA na VIPEPERUSHI Kwa Wananchi
UKWELI USEMWE CCM HAITAKI KATIBA MPYA kwani DANADANA zimezidi