Ama kweli Katiba bora ni raha sana.
Aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani kwenye serikali ya Kenyatta amekimbilia mahakamani kujiokoa dhidi ya kukamatwa na polisi:
Protect me, former Interior minister Fred Matiang'i tells court
Enyi mlioko madarakani tambueni kuwa vyeo ni dhamana na kuna leo na kesho.
Kwa kukimbilia mahakamani Dr. Matiang'i ameweza kupata fursa kujidhamini mwenyewe kuzuia kukamatwa.
Kwamba kutokea hapo inaweza kuwa mwendo wa appointment tu polisi.
Kwa hakika tunahitaji Katiba mpya itakayo tuhakikishia uhuru kamili wa mahakama, bunge na ule mhimili mwingine uliojichimbia zaidi.
Ni hapo tu ndipo tunaweza kujihakikishia haki zetu zote hapa nchini.