Wewe si ndiye uliyefungua huu Uzi kwa kusema katiba Bora Kenya, Waziri kipenzi amekimbilia mahakamani?, Katika maelezo yako ukasifia Hilo na kusema Tanzania Hilo haliwezikani kwasababu hatuna katiba mpya?, Mbona Sasa hutaki tena kuzingumzia habari ya Kenya?, Umegundua kwamba ulikua umetekwa na kelele za wakenya bila kujijua?
Kwanza futa kauli yako kwamba Kenya Kuna katiba Bora, ukifanya hovyo ndio tunaweza kuzingumzia kuhusu katiba mpya, huku Tanzania.
Kaka, muhimu ni kufanya KAZI kwa juhudi na maarifa ndio ufumbuzi wa maendeleo ya mtu binafsi, hizi kelele za kulaumu Kila mtu kwasababu ya shida na umasiki wako hazitokusaidia. Wachagga, wakinga, wahindi, wapemba, wahaya, wanafanya vizuri maishani, sio kwasababu ya katiba, wazaramo, waluguru, wakutu, na watu wa jamii zinazoishi pwani, zinaishi maisha ya dhiki na umasiki sio kwasababu ya katiba. Fanya KAZI kwa bidii, punguza uvivu, utaolewa[emoji23][emoji23][emoji23]