Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele!

Wewe kweli kichwa ngumu kuelewa na nina mashaka na hata kisomo chako, mi nadhani umeelewa na hivyo kukubaliana na elimu uliyopewa na MMK.....kumbe unam tricky mwanakijiji kwa kuhitimisha unazi wako usio na mashiko? Moderators tafadhali funga thread kwani huyu jamaa keshakiri kwamba amepost kitu asichokikifahamu.
Asante kwa jibu lako nawaomba na wengine wote wajue kuwa muswada ule haukupingwa na yeyote!. This is a fact!. Kumbe harakati zote za kujidai kupinga zilikuwa ni ngonjera tuu!. Kama hakukuwa na pingamizi lolote hivyo kupelekea muswada kupita kiulaini! Kelele zote za kuupinga was nothing ni makelele tuu!, inatolewa fursa ya kupinga, hakuna anayepinga hizo kelele mnapigia nini?.
 
Mzee Mwanakijiji, huna hoja unapinga kama uko kwenye barza za kucheza bao. "utalalia wapi", "mtaji uko wapi", "kisha itakuwaje", "ningepeleka kete hizi".

Pasco Uko juu, juu, juu zaidi.

Mwanakijiji huna uelewa na ufahamu na muono aliokuwa nao Pasco, he is way way too far ahead of you. No pun intended.
 
Naam. Kama umekubali mjadala umeisha. Shukrani mkuu.
Asante Mkuu Mwanakijiji, kumbe upigaji kelele wote kuhusu kuuzuia huu muswada usiwasilishwe was nothing!. Kumbe hakukuwa na pingamizi lolote rasmi!. Yaani watu maneno marefu, vitendo vifupi, mara jukwaa la katiba likapinga!, mara wanaharakati wakapinga, humu jukwaani tumepinga sana!. Kumbe yote ni maneno matupu!. Tulio wategemea kwa vitendo kule mjengoni wametupatia vitendo sifuri!. Yaani siamini harakati zote zile za kupinga kuwasikishwa muswada huu, ilipotokea fursa ya kuwasilisha pingamizi rasmi, there was nothing!. Nill!. What a loss!. Wanabodi, nimekubali yaishe!.
 
Wewe mama inatakiwa ukae pembeni kabisa maana tunajua una maslahi CCM,afadhali hata Pascal aliyeko kwenye payroll ya CCM kwa siri. Jana yenyewe alikuwa kwenye sherehe za rafiki yake Jerry Muro mwandishi wa habari wa type yake mwenye scandal ya Rushwa.
Mzee Mwanakijiji, huna hoja unapinga kama uko kwenye barza za kucheza bao. "utalalia wapi", "mtaji uko wapi", "kisha itakuwaje", "ningepeleka kete hizi".

Pasco Uko juu, juu, juu zaidi.

Mwanakijiji huna uelewa na ufahamu na muono aliokuwa nao Pasco, he is way way too far ahead of you. No pun intended.
 
Hii post yako ya mwisho ina reveal wewe ni mtu wa aina gani. Utoto na ushindani usio na hoja za msingi huku ukihadaa UMMA wa Tanzania kwamba wasimamia haki na kweli. Tueleze kwa nini wewe ulipotimuliwa TBC1 hukuweza kutumia uwezo wako kisheria kuzuia unfair termination?
Asante Mkuu Mwanakijiji, kumbe upigaji kelele wote kuhusu kuuzuia huu muswada usiwasilishwe was nothing!. Kumbe hakukuwa na pingamizi lolote rasmi!. Yaani watu maneno marefu, vitendo vifupi, mara jukwaa la katiba likapinga!, mara wanaharakati wakapinga, humu jukwaani tumepinga sana!. Kumbe yote ni maneno matupu!. Tulio wategemea kwa vitendo kule mjengoni wametupatia vitendo sifuri!. Yaani siamini harakati zote zile za kupinga kuwasikishwa muswada huu, ilipotokea fursa ya kuwasilisha pingamizi rasmi, there was nothing!. Nill!. What a loss!. Wanabodi, nimekubali yaishe!.
 
Jamani nadhani ameshaliona kosa lake japokuwa hataki kukubali. Mimi huyu jamaa namjua sana kwa undani.. ni social climber mmoja wa hatari sana na ubishi na misifa ndio jadi yake...
Macho Mdiliko, nakuomba usininyanyapae kwa umasikini, ni kweli mimi ni social climber, nimetokea familia duni, fukara hivyo naitumia jf angalau kuraise my status!. Umasikini wangu na uduni wa familia yangu naomba niachie mwenyewe!, please jadili hoja yangu tuu!.
 
Hii post yako ya mwisho ina reveal wewe ni mtu wa aina gani. Utoto na ushindani usio na hoja za msingi huku ukihadaa UMMA wa Tanzania kwamba wasimamia haki na kweli. Tueleze kwa nini wewe ulipotimuliwa TBC1 hukuweza kutumia uwezo wako kisheria kuzuia unfair termination?

Hapo nilipo underline haina uhusiano na mjadala halafu mambo ya ajira ni kati ya mwajiri na mwaajiriwa??? huwezi walimaliza vipi??

Besides, Pasco thanks umenisaidia sana kufahamu mengi kwenye mjadala huu hasa those die-hard fans wa chadema..

chadema haina watu ina watu wepesi sana vichwani wanaweza kupelekwapelkwa wakati wale wachache wanakula kwa siri..
 
Hii post yako ya mwisho ina reveal wewe ni mtu wa aina gani. Utoto na ushindani usio na hoja za msingi huku ukihadaa UMMA wa Tanzania kwamba wasimamia haki na kweli. Tueleze kwa nini wewe ulipotimuliwa TBC1 hukuweza kutumia uwezo wako kisheria kuzuia unfair termination?

it was fair termination!.
 
Asante Mkuu Mwanakijiji, kumbe upigaji kelele wote kuhusu kuuzuia huu muswada usiwasilishwe was nothing!. Kumbe hakukuwa na pingamizi lolote rasmi!. Yaani watu maneno marefu, vitendo vifupi, mara jukwaa la katiba likapinga!, mara wanaharakati wakapinga, humu jukwaani tumepinga sana!. Kumbe yote ni maneno matupu!. Tulio wategemea kwa vitendo kule mjengoni wametupatia vitendo sifuri!. Yaani siamini harakati zote zile za kupinga kuwasikishwa muswada huu, ilipotokea fursa ya kuwasilisha pingamizi rasmi, there was nothing!. Nill!. What a loss!. Wanabodi, nimekubali yaishe!.

kweli yaishe kwa sababu wewe uliwategemea CDM badala ya kuwategemea CCM ambao ndio walikuwa na uwezo wa kuzuia mswada huu na hawakufanya hivyo. Angalau tunafarijika kujua kuwa CDM walitoa msimamo wao kuonesha mapungufu ya mswada na wakaukataa kwa vitendo livyo dhahiri - kwa kutoka nje. CCM waliobakia ndani wangeweza kubadilisha au kuukataa hawakufanya lolote wakabakia kupigiana makofi. Hawa ndio wa kuwasikitikia. Bahati mbaya huoni tatizo kwa CCM kupitisha mswada mbovu wakati wale unaowaita ni "wabunge makini' waliposhindwa kutumia kanuni ile ile ya 86:3b. Hata mimi nakubali yaishe maana kama CCM waliopitisha mswada kwa mbwembwe walitarajiwa waunge mkono CDM basi inatosha siku kuwa vituko.
 
Well hapa umesema ukweli na uliona mbali, otherwise ungekuwa kikaangoni na mwenzio Jerry Muro. Swali: Je, credibility yako kama mwandishi wa habari iko wapi? Unataka tuamini na topic uliyo post haina ufadhili wa kisiasa nyuma yake?
it was fair termination!.
 
kweli yaishe kwa sababu wewe uliwategemea CDM badala ya kuwategemea CCM ambao ndio walikuwa na uwezo wa kuzuia mswada huu na hawakufanya hivyo. Angalau tunafarijika kujua kuwa CDM walitoa msimamo wao kuonesha mapungufu ya mswada na wakaukataa kwa vitendo livyo dhahiri - kwa kutoka nje. CCM waliobakia ndani wangeweza kubadilisha au kuukataa hawakufanya lolote wakabakia kupigiana makofi. Hawa ndio wa kuwasikitikia. Bahati mbaya huoni tatizo kwa CCM kupitisha mswada mbovu wakati wale unaowaita ni "wabunge makini' waliposhindwa kutumia kanuni ile ile ya 86:3b. Hata mimi nakubali yaishe maana kama CCM waliopitisha mswada kwa mbwembwe walitarajiwa waunge mkono CDM basi inatosha siku kuwa vituko.

Kitu kuwa mbovu ni "very subjective"

Wabunge makini ni very subjective...

Muswada ambao wewe unaona ni mbovu pengine ni mzuri kwa wengine , na wabunge ambao wewe unaona ni makini pengine wengien wanaona ni mazezeta..

inabidi mkubali kutokukubaliana
 
Wachumba wa CCM kuna siku mmekosa majibu? Mzalendo yeyote wa nchi hii anaelewa ubovu wa kile kilichopitishwa na wabunge zaidi ya 250 wa CCM, UPDP na Mke Mkubwa CUF.
Kitu kuwa mbovu ni "very subjective"

Wabunge makini ni very subjective...

Muswada ambao wewe unaona ni mbovu pengine ni mzuri kwa wengine , na wabunge ambao wewe unaona ni makini pengine wengien wanaona ni mazezeta..

inabidi mkubali kutokukubaliana
 
Asante Mkuu Mwanakijiji, kumbe upigaji kelele wote kuhusu kuuzuia huu muswada usiwasilishwe was nothing!. Kumbe hakukuwa na pingamizi lolote rasmi!. Yaani watu maneno marefu, vitendo vifupi, mara jukwaa la katiba likapinga!, mara wanaharakati wakapinga, humu jukwaani tumepinga sana!. Kumbe yote ni maneno matupu!. Tulio wategemea kwa vitendo kule mjengoni wametupatia vitendo sifuri!. Yaani siamini harakati zote zile za kupinga kuwasikishwa muswada huu, ilipotokea fursa ya kuwasilisha pingamizi rasmi, there was nothing!. Nill!. What a loss!. Wanabodi, nimekubali yaishe!.
Dah! Mkuu Pasco bana!
 
Wachumba wa CCM kuna siku mmekosa majibu? Mzalendo yeyote wa nchi hii anaelewa ubovu wa kile kilichopitishwa na wabunge zaidi ya 250 wa CCM, UPDP na Mke Mkubwa CUF.

Nasikia mnaenda kuomba NDOA na ccm hivi karibuni (tume)

Mtakuwa mke mdogo (darling) kila la heri kwa kugawa upinzani Tanzania for your selfishness
 
Pasco, naomba kuuliza... nini kinakusukuma kusema kwamba wakubali yaishe? Wewe binafsi umejiridhisha hiyo sheria inakidhi mahitaji yetu watz huko mbele unakotaka tusonge? Msimamo wako ni nini?
 
Asante Mkuu Mwanakijiji, kumbe upigaji kelele wote kuhusu kuuzuia huu muswada usiwasilishwe was nothing!. Kumbe hakukuwa na pingamizi lolote rasmi!. Yaani watu maneno marefu, vitendo vifupi, mara jukwaa la katiba likapinga!, mara wanaharakati wakapinga, humu jukwaani tumepinga sana!. Kumbe yote ni maneno matupu!. Tulio wategemea kwa vitendo kule mjengoni wametupatia vitendo sifuri!. Yaani siamini harakati zote zile za kupinga kuwasikishwa muswada huu, ilipotokea fursa ya kuwasilisha pingamizi rasmi, there was nothing!. Nill!. What a loss!. Wanabodi, nimekubali yaishe!.

Baada ya siku ya jana ilivyoisha pale Moven Pick, na jinsi ulivyouwasilisha mjadala huu hapa jamvini ni wazi kwa watu tuliokuwa tunaufuatilia bila kutia chembe ya kifungu cha sheria, ikiwemo na mimi.... Nilitarajia mwisho wa namna!
Ungekuwa mtani wangu ningekuja na kauli za namna hii
"Kwa jinsi mjadala ulivyoenda na hoja uliyoisimamia, ni wazi sana kuwa umeshinda blaza Pasco! Vp unauzungumzia vipi ushindi huu ulioupata.... lol"

Ambachosijaelewa ni kwamba maandishi yako ya mwisho yanamsisiko wa furaha kwa "kushinda" hoja hii, na umepambana kuhakikisha "unashinda"...
Bado sielewi, kushindwa kwa CDM na wadau wengine humu jamvini kukufikisha ulipotaka kwenda, kunachangia vipi furaha yako katika mazingira ya KATIBA inayofuata kama NCHI....
Dah Tanzania yangu, Watu wangu..!
 
Wewe tunajua una maslahi CCM,afadhali hata Pascal aliyeko kwenye payroll ya CCM kwa siri.
Kazi yangu ni kama taxi driver, wote ni abiria wangu!. Fungua posti zangu usome mtazamo wangu kuhusu CCM!. Na kwa vile sina chama, niko huru kujiunga chama chochote, kusupport chama chochote na kukosoa chama chochote.
Niliwahi sema CCM imechokwa!, na ni kweli imechokwa!.

Niliwahi sema Chadema hamjajipanga!, na ni kweli bado Chadema haijajipanga!.

Pia nilisema GNU ndio mwanzo wa mwisho wa CUF!, safari ya kuekea ukingoni imeanza!.
Kina Nape, January Riz 1 etc wa CCM ni rafiki zangu, sambamba na Lissu, Mnyika, Zitto etc wa Chadema, sambamba na Jussa, Mtatiro, Hamad Rashid etc wa CUF, kama ni kweli ninalipwa!. I must be filthy rich!.
 
Acha kutafuta cheap publicity! Jana nimeona reaction (facial expression) ya wazi kabisa ya Tundu Lissu dhidi yako pale ulipotaka ku intervene majibu yake kwa swali ulilouliza kabla hajamaliza kuzungumza (poor listening skills). Hakuwa amevaa sura ya kirafiki kama unavyotaka kutuaminisha.
Ushauri wangu kwako ni kwamba kuwa makini na mchezo unaoufanya wa kuwazunguka wanasiasa ukiwa kama mwandishi wa habari, ni hatari sana kwako.
Kazi yangu ni kama taxi driver, wote ni abiria wangu!. Fungua posti zangu usome mtazamo wangu kuhusu CCM!. Na kwa vile sina chama, niko huru kujiunga chama chochote, kusupport chama chochote na kukosoa chama chochote.
Niliwahi sema CCM imechokwa!, na ni kweli imechokwa!.

Niliwahi sema Chadema hamjajipanga!, na ni kweli bado Chadema haijajipanga!.

Pia nilisema GNU ndio mwanzo wa mwisho wa CUF!, safari ya kuekea ukingoni imeanza!.
Kina Nape, January Riz 1 etc wa CCM ni rafiki zangu, sambamba na Lissu, Mnyika, Zitto etc wa Chadema, sambamba na Jussa, Mtatiro, Hamad Rashid etc wa CUF, kama ni kweli ninalipwa!. I must be filthy rich!.
 
Hili nalo ni jibu. Nilikuwa sijui kuwa na wewe upo kwenye list ya vijana wa Nape. FF yeye tumemzoea. Kajitahidi kujilambalamba kwa Pasco akitegemea kuwa Pasco ataanza kuungana naye kwenye kuitetea CCM, ila kweli Pasco hafungamani na upande wowote, Kimama kimepigwa chini PWAAAA!!!!!! Hahahahaaaaa.......

Pasco kweli unasimama wewe kama wewe. Mtu anaweza kukuchukia au kukupenda ila ukweli unabaki kama wewe.

Endelea hivyo hivyo ila tu ubadilike kwa kitu kimoja. Usiwe mtu wa kuishi bila PLAN B na C ikibidi.

Kama wote tunajua muswaada huu ni mbovu, bila ya kujali CHADEMA wangelifanya nini au hawakufanya nini, tuungane na tuje na PLAN B kwa hawa "Mbwa" na kamba zao shingoni wa CCM ambao milele wataenda ambako mama yao Spika Makinda anataka kwenda. Watafurahi kuwa wapo na Makinda ila mwisho wa siku, wako kwenye KAMBA.
DogWalkerES_468x432.jpg

Kitu kuwa mbovu ni "very subjective"

Wabunge makini ni very subjective...

Muswada ambao wewe unaona ni mbovu pengine ni mzuri kwa wengine , na wabunge ambao wewe unaona ni makini pengine wengien wanaona ni mazezeta..

inabidi mkubali kutokukubaliana
 
Kazi yangu ni kama taxi driver, wote ni abiria wangu!. Fungua posti zangu usome mtazamo wangu kuhusu CCM!. Na kwa vile sina chama, niko huru kujiunga chama chochote, kusupport chama chochote na kukosoa chama chochote.
Niliwahi sema CCM imechokwa!, na ni kweli imechokwa!.

Niliwahi sema Chadema hamjajipanga!, na ni kweli bado Chadema haijajipanga!.

Pia nilisema GNU ndio mwanzo wa mwisho wa CUF!, safari ya kuekea ukingoni imeanza!.
Kina Nape, January Riz 1 etc wa CCM ni rafiki zangu, sambamba na Lissu, Mnyika, Zitto etc wa Chadema, sambamba na Jussa, Mtatiro, Hamad Rashid etc wa CUF, kama ni kweli ninalipwa!. I must be filthy rich!.

Hawa mkuu kila anayewapinga either ametumwa, analipwa etc..

Isipokuwa anayewa -support tu ndio hajatumwa na halipwi..

wana akili nyepesi sana usijiismubue nao we know them hawataki watu wenye kuuliza maswali..
 
Back
Top Bottom