M-pesa
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 602
- 152
Wewe kweli kichwa ngumu kuelewa na nina mashaka na hata kisomo chako, mi nadhani umeelewa na hivyo kukubaliana na elimu uliyopewa na MMK.....kumbe unam tricky mwanakijiji kwa kuhitimisha unazi wako usio na mashiko? Moderators tafadhali funga thread kwani huyu jamaa keshakiri kwamba amepost kitu asichokikifahamu.
Asante kwa jibu lako nawaomba na wengine wote wajue kuwa muswada ule haukupingwa na yeyote!. This is a fact!. Kumbe harakati zote za kujidai kupinga zilikuwa ni ngonjera tuu!. Kama hakukuwa na pingamizi lolote hivyo kupelekea muswada kupita kiulaini! Kelele zote za kuupinga was nothing ni makelele tuu!, inatolewa fursa ya kupinga, hakuna anayepinga hizo kelele mnapigia nini?.