The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,471
- 3,768
Katiba hii inatoa nafasi kubwa sana za nafasi za utendaji muhimu sana kwa maisha ya wananchi na maendeleo ya nchi kwa kuteua teua tu.
Ukweli ni kwamba hii inawafanya watu wazembe wawekeza sana kwenye kujipendekeza kusifia na kupiga majungu kwa sababu wana uhakika mteuaji ana nafasi kubwa ya kuteua watu wanaomtakia na kumtamkia mema.
Hii ndiyo imesababisha kumekuwa vitaasisi vingi sana vya kusifia na kupamba kana kwamba vina nia safi kama vinavyoonekana kwa nje wakati ukweli ni kwamba wanakaa pale kuvizia teuzi na kupendelewa.
Jambo hili linaua utendaji wa kiueledi.
Hata hao wanasiasa tuliopaswa kuwachagua nao pia katiba imewateka ni wateule badala ya kusimama kwa matakwa ya wananchi wanasimamia matakwa ya wateuaji kwanza.