Katiba inakupa uhuru wa kukosoa/kutoa maoni haikupi uhuru wa kutoa lugha za kuudhi na kuchonganisha

Mkuu Kula Like kibao kwa kumpatia jibu mijaraaabu la kizareendoo

In God we trust
 
"Lugha ya kuudhi " imekuwa kichaka cha kuminya demokrasia ya Tanzania , Tuache mahakama itufafanulie , hatutanyamazishwa kamwe .
Watanzania tuliitwa wapumbavu na malofa hivi hiyo ilikuwa ni kujenga taifa?hii Tanzania ni zaidi ya kituko

In God we trust
 
Kwanini kesi za uchochezi uchunguzi huwa haukamiliki ili tupate hukumu iliyotafsiri what amount to uchochezi as against the freedom of expression pamoja na kazi ya opposition party. Kutegemea tafsiri ya sheria toka Lumumba sio salama kabisa.
Mkuu hakuna marefu yasiyo na ncha

In God we trust
 
Mpumbavu mkubwa wee!! Lugha ya kuudhi na uchonganishi ni IPI?!

Mjinga mkubwa!!!
 
Mtoa mada umetoka musoma wanakoongoza kulima BANGI na Avatar yako unavuta bangi kwenye kibuyu,hakika huwezi kuwa na ufahamu wako kama hujui viongizo wa Lumumba ni WATUSI.
Huenda ni hilo"DAGA"unalopuliza.
 
Ivi maana ya kutoa mawazo yako nini maana yake?je usifie tuu hauluhusiwi kukosoa?unajua maana ya uhuru wa mawazo?uhuru wamawazo upo pande mbili kusifia au kukosoa.je katba hairuhusu kukosoa?na je unatambua mtu yeyote akikosoa huonekana anakupinga nakuhisi unatukanwa?hayo nimawazo yake binafsi serikali au mkuu kama ime muuzi alipaswa amjibu tundulisi kipointi sio kumkamata.niishie hapo maana jiwe kamwe haliwez kuwa nazi.tuhangaikeni nahii nchi mpaka vitukuu vyetu ndo vitalikomboa hili taifa.
 

Tatizo lako hata wewe ukiitwa kuwa ni "mjinga" waweza kudai ni tusi, umetukanwa....

Ukichagua kuudhika ktk hali yoyote utakuwa umechagua wewe, hujachaguliwa na mtu...

Yesu Kristo (Mfalme wa wafalme wote) alikosolewa sana, alinenewa uongo sana na kusingiziwa sana lakini kamwe hakuchagua kuudhika badala yake aliwapenda wote "waliotaka" audhike...

Kopeni hekima na busara hizi mtaishi maisha marefu na yenye furaha.... lakini mkichagua kuudhika tu hata pasipo na sbb ya kuudhika, hamna haja ya kumlaumu Tundu Lissu... jilaumuni wenyewe kwa sbb kinyago mmekichonga wenyewe haohao !!
 
Swadakta .
 
Wewe ni zaidi ya zumbukuku no 1

In God we trust
 
Unabugia bhange kwenye buyuu

In God we trust
 
Wewe ni "KILAZA" in maguful voice.
 
Kuhoji ukiukwaji wa mfumo wa kikatiba wa vyama vingi vya siasa siyo uchochezi
 
Mkapa alirudia tusi mbele ya JPM kwa mara ya pili akiwatukana watanzania zaidi ya mil 6 kuwa ni wapumbavu na malofa,JPM akakenua meno akichekelea!Kwako hilo sio tusi wala lugha ya kuudhi!
Mkapa hakutoa Tusi ,alisema ukweli.Tanzania ilishakombolewa siku nyingi na watu walipoteza Maisha katika harakati za kuikomboa Tanzania,Mfano vita vya majimaji nk...Mwalimu Nyerere alipoteza kazi ya ualimu Pugu alipoamua kuingia kwenye siasa za ukombozi wa Tanganyika leo mtu anakuja na hoja ya kutaka kuikomboa Tanzania ,,,,? Are you serious,is Tanzania in the hands of colonial Masters? Unapokuwa hujui kitu na hutaki kuelimishwa hapo ndio unapo itwa mpumbau......Rais mkapa alitoa jina sahihi kwa watu sahihi
 
Wewe kada ngoja nikuulize swali dogo tu kuwa unasema Lissu kuita kauli ya mzee Mwinyi kutaka kipindi cha Rais wetu Magufuli badala ya kuwa cha miaka 10 badala yake awe Life President wetu kuwa ni mawazo ya kijinga unayaita hayo ni matusi na ndiyo yaliyomfanya hadi sasa aendelee kusota rumande kule Keko hadi Leo....

Hivi kama ndiyo hivyo, ni kwanini Mkapa hadi leo bado yuko uraiani anatanua hajakamatwa na Polisi wakati majuzi kule Chato alituita watanzania wote wapumbavu na malofa?

Hivi kati ya mtu aliyeita matamshi ya mzee Mwinyi ni ya kijinga na yule aliyesema watanzania wote ni wapumbavu na malofa, hivi kati ya hayo wawili ni nani hasa aliyetukana?

Naomba unijibu bila kutumbukiza ukada wako....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…