Katiba inakupa uhuru wa kukosoa/kutoa maoni haikupi uhuru wa kutoa lugha za kuudhi na kuchonganisha

Rafiki wewe naona huna mpya zaidi ya kupigia makofi kila atakacho kisema Lisu.Soma uchambuzi wangu hapo ndo utagundua hoja zote alizotoa ni za uongo na uchonganishi
 
Umenena vyema mkuu,mwambieni Lisu aache kutoa lugha za kuudhi na kuchonganisha.
 
Ai biliivu umemuandikia magufuli kuwa analugha za kuudhi sana!
Nimemuandikia Lisu na mwanasheria wake,yeye ndio alitoa kauli za kuudhi na kuchonganisha ambazo zimemfikisha alipo sasa
 
Soma title ya hiyo post then uatapata majibu hapo,Issue ni kuwa huyo jamaa aache lugha za kuudhi na kuchonganisha
 
Kusema wahisani wasitoe msaada ni tusi,kusema wazo la kijinga tusi?mkapa kuita wtz malofa,wapumbavu si tusi? Acha ushabiki,

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuita mawazo ya Mhe Mwinyi ni ya kijinga ni Tusi Mubashara.RAIS MKAPA kuita watu wasio jua kuwa Tanzania ilisha kombolewa na haihitaji tena ukombozi na ni kivumishi cha sifa
 
Leo hii huyo gamba mleta mada kayachokoza mwenyewe

In God we trust
Kama hujui kuwa nchi yako ilisha kombolewa na hutaki kuelimishwa wewe ni mpumbavu na sio Tusi ni kivumishi cha sifa
 
Tunaheshimu sheria ndio maana tunaomba mahakama itusaidie haki yetu ipatikane ,sisi sio wadau wa ukuta sisi ni watanzania wazalendo tunao tii sheria bila shuruti
 
Hivi yale ya mkapa yalikuwa ni ya kulijenga taifa?

In God we trust
Waloitwa itwa wapumbavu ni wale ambao hawajui kuwa Tanzania ilisha kombolewa toka kwa wakoloni,,,,soma kamusi ya kiswahili uone mtu ambae hajui kitu na hataki kuelimishwa anaitwaje?
 
 
Jesus Christ was human being 100% and God at the same time 100% You cant equate human being with jesus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…