Katiba inasemaje kama ikitokea Rais na Makamu wake wote wakifa kwa pamoja?

Mkuu umewaza sana sijawahi waza hivi lakini hoja yako ina msingi sana
 
Twanga risasi wote au corona??
 
Binafsi nadhani ni Jaji mkuu, sababu kuna mihimili mitatu na mahakama ni mhimili wa pili na Bunge ni wa tatu
 
Tofautisha kati ya swali na uchuro, huo ni uchuro wala si swali.

Mbona hukujiuliza we mwenyewe kuhusu wewe na Mkeo mkifa watoto wako watalelewa na nani?
Mimi jirani yake mwema mpenda watu nitawalea, naomba msianze maneno wala kutufananisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…