Bashiru ni mtumishi mwandamizi wa umma...katibu mkuu kiongozi anatakiwa ateuliwa toka miongoni mwa watumishi waandamizi wa umma.
..alikuwa mtumishi wa chama.Bashiru ni mtumishi mwandamizi wa umma.
Naomba unisome vizuri.JF ni sehemu ya kuelimishana nami najua kuwa atakalo rais liwe huwa linakuwa ila Kikatiba na kisheria.Ningetegemea uweke vifungu vya katiba/sheria ili tuwe na mjadala mzuri!Sijui unataka kujua nini. Kikatiba raisi anayo haki ya kumteua Katibu kiongozi. Kama matakwa ya kikatiba yamekidhi huenda ya kisheria yamekidhi pia. Anayaeteuliwa anatakiwa awe mwananchi. Aliyeteuliwa ni Nshomile Mtanzania halisi wala si Mganda Kyaka. Hii ina maana naye amekidhi matakwa ya kikatiba na kwa hiyo ya kisheria. Una swali lingine?
Naomba utuwekee ibara ya katiba ya JMT inayotoa sifa za mtu anayestahili kuteuliwa kuwa CS..alikuwa mtumishi wa chama.
..na ngazi ya utumishi aliyoteuliwa hairuhusu wahusika kujihusisha na siasa.
..Magufuli katoa boko.
Naomba utuwekee ibara ya katiba ya JMT inayotoa sifa za mtu anayestahili kuteuliwa kuwa CS
Ahaaa, acha kuwa na ubishi wa kitoto. Weka ibara gani imekiukwa ili tujadili...hata nikikuwekea utabisha.
..kwako wewe Magufuli hakosei, na ni muhimu kuliko katiba, pamoja na nchi.
hiyo ni rasimu ya warioba siyo katiba ya sasaHii hapa mkuuView attachment 1713309
Idugunde ,Hii hapa mkuuView attachment 1713309