Katiba inasemaje kuhusu uteuzi wa Bashiru Ally?

Katiba inasemaje kuhusu uteuzi wa Bashiru Ally?

Kwa kifupi JIWE kachemka sana na hakuna mtu wa kumwambia. Chief Secretary ilipaswa atoke miongoni mwa maafisa waandamizi wa serikali siyo mtumishi wa chama cha siasa.
Siku ukija kushtuka itakuwa too late brother endelea kutafuna mahindi
 
..ingekuwa sahihi kama ni balozi aliyetokea ktk kada ya foreign service officers.

..mabalozi wanaoteuliwa toka nje ya serikali ni mabalozi wa kisiasa.
Hahaaaa!

Huku sasa ni kuhamisha magoli!

Kwani katiba inakataza watu kuteuliwa kuwa mabalozi nje ya serikali?

Hii chuki dhidi ya Magufuli inawafanya mpoteze kabisa fahamu!
 
Kwani hizo teuzi haziwezi kuwa simultaneously?

Mbona kuna mawaziri ambao huwa wanateuliwa kuwa wabunge na kuwa mawaziri kwa wakati mmoja....au nakosea?

..ubalozi ni ama upewe nchi ya kuwakilisha, au uwe mkuu wa idara makao makuu ya wizara. sasa Dr.Bashiru alitumikia wapi huo ubalozi?
 
Mkuu , nchi hii imebaki Kama yatima katiba ya nchi imekua Kama gazeti tu, kiufupi nafikili cheo hichi hakitakiwi fungamana na SIASA, maana sio watumishi wote tz chin yake wanasiasa,ila tutafika
Mods naomba tuuache uzi huu ujitegemee ili tuweze kupata mwanga wa kikatiba na kisheria kuhusu uteuzi tajwa.Pamekuwa na kambi mbili katika uteuzi huu na msaada wa wadau wa katiba na sheria unaweza kutupa mwanga.
Najua kuna jukwaa la mambo ya sheria lakini uteuzi huu una athari za kisiasa ambazo inawezekana kwa sasa hazipo wazi.
Tusaidieni tujue ukweli ni upi
 
Bashiru alikuwa mtumishi wa umma alikuwa mwalimu UDSM
Kwahiyo baada ya kuteuliwa kua Katibu wa CCM Taifa aliendelea kua Mwalimu na mtumishi wa umma?
Screenshot_20210227-193149.png
 
..ubalozi ni ama upewe nchi ya kuwakilisha, au uwe mkuu wa idara makao makuu ya wizara. sasa Dr.Bashiru alitumikia wapi huo ubalozi?
Again, hiyo ni kwa mujibu wa nini?

Tanzania tokea ianze hatujawahi kuwa na mabalozi wa vyeo/ hadhi tu ambao hawakuwahi kuiwakilisha nchi au kuwa wakuu wa idara?

JokaKuu, you are my guy but on this one, you are reaching bro!

Najua humpendi Magufuli, but damn...
 
Hiyo nafasi ya ualimu haku retire....
Duuh kwahiyo aliendelea kufundisha na kulipwa mshahara?
Wapi mtumishi wa umma mwalimu anaruhusiwa kufanya Siasa jukwaani?
Bora tunatumia Kiswahili maana ingekua lugha inayotumiwa na mataifa mengine aya unayo andika ni aibu
 
Tanzania tokea ianze hatujawahi kuwa na mabalozi wa vyeo/ hadhi tu ambao hawakuwahi kuiwakilisha nchi au kuwa wakuu wa idara?

..sina kumbukumbu ya mabalozi wa aina hiyo.

..sijui wewe mwenzangu unamkumbuka balozi yeyote aliyeteuliwa halafu asiwakilishe nchi, au kuwa mkuu wa idara wizara ya mambo ya nje?

..ila wako watumishi wa wizara ya mambo ya nje ambao wako seconded maeneo mengine ambao nadhani huwa wanaendelea kupanda ngazi kama foreign service officers.
 
Back
Top Bottom