Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Naona ipo haja ya baadhi ya nyadhifa kutofunganishwa na siasa, binafsi ningependa rais, waziri na wabunge tu ndiyo wangefaa kuchaguliwa na watumishi waliobakia watokane na michakato ya uchaguzi wa sifa.
naibu waziri,waziri,madc na marc hii nguvu ingepokonywa pamoja na uteuzi wa wakurugenzi na bodi zao..ni mamlaka makubwa mno na ni mfumo wa kijamaa haufai kwa dunia ya sasa.
mniasamehe wahafidhina wenzangu.