Katiba Inayopendekezwa imekujali hata wewe unayekaidi na kuipinga.


Hata wewe umekaririshwa tu kama mleta mada mtangulizi! sioni input yako binafsi isipokuwa kunukuu yale uliyokaririshwa! Archaic metality; na bado umegusia baadhi tu ya niliyoyasema; mbona huzungumzii kufungwa kwa tovuti ya tume?! kwa nini huzungumzii katiba kuukana utanganyika wetu?!

Ukweli unaojinasibu nao is a relative term kutegemea maono yako; maslahi is a relative term kutegemea unataka kutetea nini!
Bro read between the lines; think out of the box, usisome katiba au sheria kama unapiga picha.
kumbuka

Una macho lakini huoni! una masikio lakini husikii! una akili! unazibaniabania; hutaki kuziacha zivinjari! hilo swala la katiba pendekezwa ya "nyoka wa makengeza na Six" mpaka limefikia mahali linatolewa matamko makali makali na viongozi wa kiroho na makundi mbali mbali katika jamii; nchi imegawanyika nusura Amani ivunjike kisa hiyo katiba; Rais anatoa msimamo wake kuhusu katiba bado maaskofu wanamjia juu na kusisitizia tamko lao bado wewe unaimba prose; Ngonjera eti wewe ni mkweli mkweli! mkweli kuliko nani na kuhusu nini?! wacha wewe! usijipigie tarumbeta kaka waache watu wakusifie; Do not blow your own trumpet; let others sing praises for you!
Nchi iko njia panda kutokana na katiba hii; juzi serikali imeuweka mswada wa mahakama ya kadhi kwapani; bado tu wewe hjuoni kama kuna tatizo! unachekesha kweli!

KATIBA YA NYOKA WA MAKENGEZA NA SIX kura ni HAPAAAANA; and believe you me; we are a big movement; (VUGUVUGU LA NGUVU) na tuko kazini kuipata kura ya HAPANA. Anza kujiandaa kisaikolojia tafadhali!
 
Unajua maana ya MTK? Au wewe unaraha tu kujiita hivyo, kumbe akili huna, sasa maana ya MTK ni Matako sasa badili hiyo Id au tumia zile zako za Tyta au Tetty. Acha porojo humu ndani.
 
Unajua maana ya MTK? Au wewe unaraha tu kujiita hivyo, kumbe akili huna, sasa maana ya MTK ni Matako sasa badili hiyo Id au tumia zile zako za Tyta au Tetty. Acha porojo humu ndani.

Tii kiu yako; tukana mpaka uchoke kama inakuongezea tija au heshima kwa Utu wako!! niite jina lolote huku Duniani na hata ukiweza kutoka akhera! kwani jina ni kitu gani bwana; waingereza husema ; After all what is in a name?! sitapungukiwa na chochote! faraja yangu kubwa ni kwamba nimekubwaga kwa hoja sasa unatamani nitishike ninyamaze au labda ungeweza uniue ili ushinde hoja; basi kwa kuwa hilo haliwezekani pia basi kubali umekosa bara na Pwani; Bila, brush! ha hah ha ha !!

Pole kwani ID yako inatanabaisha Hulka na haiba yako bila kuacha chembe ya mashaka; SIKULAUMU!

Matendo na kauli za mtu ni kielelezo kikubwa sana kufahamu kama mtu husika ana akili zinamtosha au la hasha!! Sitakuhukumu bali tafakari mwnyewe uchukue hatua stahiki.

Itoshe mie kukamilisha malumbano yetu single sided kwa kusema: KATIBA YA NYOKA WA MAKENGEZA NA SIX kura ni HAPAAAANA; and believe you me; we are a big movement; (VUGUVUGU LA NGUVU) na tuko kazini kuipata kura ya HAPANA kwa kishindo. Anza kujiandaa kisaikolojia tafadhali!

 
View attachment 241719View attachment 241720
 
Reactions: MTK
View attachment 241721
 
Reactions: MTK
hatuwezi kuchaguliwa kutengenezewa katiba na FISADI MAKENGEZA CHENGE
 
Wwe fara kama mafara wenzio tu labda imekujari wwe na familia yko mambo mhimu ya kuwabana wameyatoa wameweka ya kuwalinda unaongopa eti imekujali labda huko kwenu ndiyo imewajali.
 
hatuwezi kuchaguliwa kutengenezewa katiba na FISADI MAKENGEZA CHENGE


Hee na wewe kumbe umo umeongeza idadi ya watu waliopewa limbwata na Chenge, bila kumtaja huoni raha jiangalie wewe Chenge hana Katiba usilete dharau kwa watanzania.
 
Wwe fara kama mafara wenzio tu labda imekujari wwe na familia yko mambo mhimu ya kuwabana wameyatoa wameweka ya kuwalinda unaongopa eti imekujali labda huko kwenu ndiyo imewajali.

Mzee wa Ukweli unakura bange wewe sio bure kama huelewi huelewi tu, mtu akisema katiba imemjali si poa tu, mi mwenyewe naiona iko poa tu sasa wewe unajifanya unajua mitusi endelea kufunguka tu afu utaona!
 



Limbwata la Chenge mwaka huu litawaua ni noma naona idadi inaongezeka na wewe umejiingiza humo bila kumtaja hamuoni raha nyie sijui kawaroga huyu mtajiju!!! Kura ya Ndiyo haina mpinzani wewe jiandae kisaikolojia kulia mpaka upasuke na usipopokua makini utahama nchi ----- wewe!
 
We bro,unajua hizo fani za watu mambo ya kifungu cha 5 ibara 6(a) na marekebisho yake kutoka mstari 3(d)hadi mstari 6(g). kwangu mimi mtu wa vitu vya umeme wapi na wapi
 

yaani nyie mafisadi mnaotetea ujinga wenu mnaofanya! katiba ,uwizi , mnawaona wa tz wajinga kabisa, amini nawaambia huku kitaa wananchi wanawa mind , wanawajua mafisadi wote kwa sura na majina, wanawalia timing nyie wajinga na wanajua mtateleza tu amini nawaambia siku hiyo hamta amini, kama kweli hawa ni wa tz its about time,na ni nyie ndio mtahama nchi
 


MTK hapa umefanya analysis isiyoeleweka huna jjipya eti unadai Tanganyika yako?by the way wewe ni nani, Tanganyika unayoidai unajua ilikotoka, do you really know the origin of Tanganyika?wewe ndio u- think out of the box kulazimisha mambo usiyokuwa na uwezo nayo!!! unapiga kelele nchi iko njia panda tuambie njia panda ya wapi? meningless words, tuliza akili utaeleweka sio unapinga kila kitu unarukia mada usiyokuwa na uwezo nayo!!

Unaleta hoja ya kufungwa kwa tovuti ya Tume, minor issue, ulitaka nini kwenye tovuti hiyo? ulitaka reference gani so more, information unazochangia humu sasa hivi unazipata kwenye tovuti hiyo? usiwe vuvuzela kwa kujifanya unajua sana fungua yako basi uifinance mwenyewe maana hiyo unayosema iko out of date!! kwa heri.
 

hivi vitoto vimedumbukizwa humu juzi tu afu vinajifanya vinajua mafisadi kumbe mburula tupu
 
Reactions: MTK

Jazba tupu; hii ligi kubwa bro; Chandimu utabugi hapa; huwezi kitu.
 
Jazba tupu; hii ligi kubwa bro; Chandimu utabugi hapa; huwezi kitu.
Unajua maana ya MTK? kirefu chake ni M=MA, T=TA, K=KO hahahahw inamana wewe umeamua kujipa jina hilo chafu kijana, lkn ckushangai ndo maana akili zako zimekaa kimatakomatako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…