Katiba Inayopendekezwa imekujali hata wewe unayekaidi na kuipinga.

Nyie hangaikenii weeee, mtukanane weee, mjidanganye weee ila mwisho wa siku ni KURA YA HAPANA TU
 
unaposema tupigie kula katiba hii inayopendekezwa,inamaana tutumie mawazo yako na utashi wako .kwa mtu anayeipenda Tanzania kulikuwa hakuna ulazima wa katiba hii kupitishwa mwaka huu, ebu tuangalie ndani ya miezi 6 tuna mambo makuu 3 yani KATIBA,DAFTALI LA KUPIGA KULA NA UCHAGUZI MKUU hivi kweli haya mambo yote yatafanyika kwa uadilifu na umakini kama siyo kulipua lipua.
 
hayo hayakuhusu, wewe isome na piga Ndiyooo acha kujifanya we ndo msemaji wa NEC
 
Nyie hangaikenii weeee, mtukanane weee, mjidanganye weee ila mwisho wa siku ni KURA YA HAPANA TU
AND THE VICE VERSA IS TRUE KWENU NYIE MLOTUMWA KUCHAFUA MWELEKEO HUU MZURI WA KATIBA! Mmechemsha nawaambia.
 
Tujiandikishe kupiga kura ya maoni kuhusu katiba inayopendekezwa,huo ndio mpango mzima,wakati ukifika kujiandikisha ndio mpango mzima,propaganda hazina nafasi tena
 
Sidhani kama kuna haja ya kutupiana matusi. Tusubiri siku ikifika tukakate mzizi wa fitna. I and my family tunatupiamo kura za HAPANA katiba pandikizi.
 
Back
Top Bottom