mwakaboko
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,931
- 757
Read between the lines. Nani alikuambia kuwa kura hazitapigwa, nilisema April 30, 2015 haiwezekani ila ww na wajinga wenzako mkanikomalia, ooohh!!! ooohhh!!! zitapigwa tarehe 30/04/2015. Sasa yako wapi majigambo yenu. Mnashindwa hata kusoma hali ya hewa kwenye jambo ambalo liko wazi kabisa. Wasomi wazima mnawaaga wanasiasa kusema uongo. Wanasiasa wapige porojo nanyi mpige porojo, ninyi mnatakiwa msimame kwenye kweli.acha kupumua povu umeshindwa mwenyewe,kura lazima ipigwe!! Na kitaeleweka tu Ndiyooo!!!
Linalowezekana semeni haliwezekani. Watu wameharibu mmekaa kushangalia kama mazuzu vile, Inasikitisha kweli