Laizer Peter
Senior Member
- Feb 19, 2013
- 130
- 24
- Thread starter
-
- #41
kila mtu mawazo yake yanaheshimiwe sisi sote watanzania lakini chonde chonde kura ni siri ya mtu si vema kuweka matangazo humu ndani, katiba isomwe kwa umakini tuielewe kwani naamini ina mambo mengi mazuri kwetu sote kwa manufaa yetu wote.
watanzanio wote sio wasomi
Laizer utachekwa unasema katiba haijatokana na maoni yako? Mbona unachekesha walionuna....zaidi ya asilimia sabini ya maoni yaliyokuw kwenye mapendekezo ya warioba yaliyotokana na maoni ya wananchi yameingizwa kama yalivyo katika katiba inayopendekezwa....hizo asilimia nyingine ziliweka kwa mantiki ya kuboresha...maana kuna baadhi ya makundi yaliminywa haki zao kulingana na mapendekezo ya mzee warioba mfano watu kama wasanii hawakutambuliwa kabisa katika yale mapendekezo ya tume ya warioba...pia walemavu kuna vipengele viliongezwa...zipo sehemi nyingi tuu...ambazo kutokana na mapendekezo yale ilionekana ni busara kuyaboresha..ili kila raia apate haki atakayojivunia nayo kuwa kama mtanzania.....jitathmini wewe upo kundi gani nenda sura ya tano kasome.....hiyo ni nyongeza tu....
Kama katiba ni yetu iweje wachukue asilimia sabini na zingne waache?
Kumbuka hayo yalikuwa ni mapendekezo kaka acha kukurupuka.
Aisee Swala la KATIBA Mmmmh!!!
Ndo kauli zenu za matusi izo hvyo sishangai **** WEWE
Kama katiba ni yetu iweje wachukue asilimia sabini na zingne waache?
Sikiliza Ndugu yangu may be unaitetea Katiba coz labda uko mwiongoni kwa walioitunga
PILI Tz kama Tz VIONGOZI wetu wanajua kutunga SHERIA Na wao ndo wa kwanza kuivunja na Pia wao ndo wanakua mstari wa mbele kutoitekeleza
TATU Katiba ya nchi yetu imezidi kutunyongea chini cc tulio chini
Ila kwanini mawazo yake yasiheshimike. Ningeona busara yangepokelewa maoni yake na kumtaka aweke bayana kwanini ameona afanye hvyo na si kukurupuka kwa kuanza kumponda na kutaka afuate mawazo yasiyosahihi.
Sitaki kuamini kwamba hajaisoma hii katiba...telimishane kwanza na kama hajaelewa katika kipengele fulani katika katiba basi afafanuliwe because i believe that people's mind accept flexibility approach
Khee yamefika huko....ngoja nikaafukuzie nyani kwenye shamba langu
Kaka ile haikuwa biblia kwamb iko perfect....ndio maana tulichagua wajumbe wanaotoka katika kila kundi kwenye jamii...kama wakulima...wafugaji....wavuvi...etc....dhummuni kubwa ni kuyaweka vizuri yale mapendekezo....ndio maana nikakwambia kuna baadhi ya makundi yaliminywa haki zao wengine kutopewa kabisa kwenye mapendekezo ya mzee warioba nikakwambia mfano wasanii hawakutambulika kabisa na hao walemavu....dhumuni la wajumbe kwenda kule lilikuwa ni kuboresha kile kilichoandkwa na tume ya warioba tena suala hili lilikuwa kisheria lililoridhiwa na kila mtu.......
Hahaha kaka we namba zinaanzia mbili sio moja....mana naona umerukia PILI na TATU halafu Moja hakuna....halafu katiba unayoizungumzia hapa ipi ya 77 au pendekezwa ili mtu pa kuanzia kukuelimisha.....
Kaka wewe inaelekea ni intellectual....hebu soma post za huyo laizer halafu uone kama kuna mahali alipoomba kupewa ufafanuzi zaidi ya kutukana na kuongea vitu from the mass sasa huyo unamwelimisha vipi
Utawezaje kunielimisha wakati na wewe humo humo
kipofu na kipofu
Ama kweli Nabii hakubaliki kwao. Unataka wa kukuelimisha atoke wapi ili umuelewe? Kama wote huwaelewi maana yake wewe unamatatizo. Jitafakari ni wapi unakosea ili uchukue hatua ya kuelimishwa. Kuwa mpole ndg yangu shule sii lazima uingie kwenye majengo yenye ubao wa kufundishia na kiwepo kitabu na mwalimu. Shule hta humu humu unaelimika na kubwa zaidi ndani ya Katiba Inayopendekezwa.
Nina Akili timamu ya kuzaliwa nayo na ya class.
hivyo usitake kunilazimisha nisichotaka kwani nina haki pia ya kuikataa na kuikubali na ndo maana kuna kura ya NDIYO na HAPANA.
I think umenipata bwana MWASI MWAKENDA
Ni vema na haki, Sasa ni wajibu wangu mimi na wewe kuhakikisha tumejiandikisha ili muda sahihi wa kupiga kura utakapowadia tukatekeleze wajibu wetu wa kisheria wa kupiga kura ambayo ni haki yetu pia kikatiba.
Zoezi Lenyewe La Uandikishaji Lishaaingizwa SIASA Na Mda Uliobaki Ni Mchache Sana. I THINK VIJANA HAPA TUTAPOTEZA HAKI YETU TA KUPIGA KURA Na Hii Ni Njia Inayotumiwa Na Serikali Ya KIKWETE Kwa Madhumuni Wanayoiona Wao
Nina Akili timamu ya kuzaliwa nayo na ya class.
hivyo usitake kunilazimisha nisichotaka kwani nina haki pia ya kuikataa na kuikubali na ndo maana kuna kura ya NDIYO na HAPANA.
I think umenipata bwana MWASI MWAKENDA