Laizer utachekwa unasema katiba haijatokana na maoni yako? Mbona unachekesha walionuna....zaidi ya asilimia sabini ya maoni yaliyokuw kwenye mapendekezo ya warioba yaliyotokana na maoni ya wananchi yameingizwa kama yalivyo katika katiba inayopendekezwa....hizo asilimia nyingine ziliweka kwa mantiki ya kuboresha...maana kuna baadhi ya makundi yaliminywa haki zao kulingana na mapendekezo ya mzee warioba mfano watu kama wasanii hawakutambuliwa kabisa katika yale mapendekezo ya tume ya warioba...pia walemavu kuna vipengele viliongezwa...zipo sehemi nyingi tuu...ambazo kutokana na mapendekezo yale ilionekana ni busara kuyaboresha..ili kila raia apate haki atakayojivunia nayo kuwa kama mtanzania.....jitathmini wewe upo kundi gani nenda sura ya tano kasome.....hiyo ni nyongeza tu....