Laizer Peter
Senior Member
- Feb 19, 2013
- 130
- 24
- Thread starter
-
- #61
Ndg yangu Laizer usikate tama, bado mapema sana. Tuwaachie NEC wafanye kazi yao na wao ndiyo wenye jukumu la kutuambia nini cha kufanya, kwa muda gani na wakati gani. Hao ndiyo haswaa wahusika wakuu wa kiambia jamii ya Watanzania na sii vinginevyo, maana kuna watu wameibuka na kutaka kuwa wao ndiyo wasemaji wa NEC. Hao watawadanganya na kuwapotosha wananchi. Sasa ni wajibu wa kila mtu apate nafasi ya kuisoma katiba inayopendekezwa ili aweze kufanya maamuzi sahihi.
Kwani umeshajiandikisha maana inavyoonekana wanaweza wakatoa tu matokeo si unakumbuka walipigisha kura watu wakiwa hija. Jamaa fusi ya aibu ilishaungua
katiba yenyewe imezidi kutunyonga sisi wa chini.
Duh! Ama kweli aliyenayo ataongezewa na asiekuanacho atanyang'anywa alichonacho ataongezewa yule mwenye nacho.
Kura yangu ni ya hapana
Acha kukalili bwan Laizer, hatuko sekondari hapa ulikozoea kukalili dictionary, Unaushaidi gani kuwa NEC wamejaa ccm? Weka ushahidi ndipo useme hayo maneno yako. Soma katiba pendekezwa uielewe na upate majibu juu ya mada husika.NEC Yenyewe Wamejaa CCM Tupu Na KATIBA Yenyewe Ni Yao ....UNATEGEMEA HAKI HAPO?
Em Tusidanganyane.
Utahukumiwa kwa uongo wako,Acha hizo bhana kutudanganya.
Huyu laizer peter hujui unachokifanya humu jiheshimu acha kuongea kwa hisia!
laizer tuungane kupiga kura ya ndiyoo achana na huyu dingswayo na jina lake la ukimbizi.
Acha kukalili bwan Laizer, hatuko sekondari hapa ulikozoea kukalili dictionary, Unaushaidi gani kuwa NEC wamejaa ccm? Weka ushahidi ndipo useme hayo maneno yako. Soma katiba pendekezwa uielewe na upate majibu juu ya mada husika.
Tumekuzoea sana unaparamia unadhani huu ni mti, uko kama mwanafunzi asiyefata maelekezo class matokeo yake unafeli kama ulivyofeli wakati uko sekondari kidato cha nne, je unabisha?Huwezi kujua wewe maana hujui kinachoendelea Au unafkiria nimekurupuka nikasema ivo!!!
Sawa sawa bwana Makweya naungna na wewe katika hilo.Hadi nakosa la kusema mtu unapofikia kusema sheria mama haina maana kwako! hiyo ni kuchagua maisha huria ya bila muongozo,hebu tutulize vichwa tu na kuwa na katiba yetu,tena kupitia katiba hihii pendekezwa!
ndg nakushauri uisome tena na tena katiba inayopendekezwa,utaielewa na mwisho utaiunga mkono na pia utasaidia kuwaelimisha watanzania wengine wenye mtizamo hasi kuhusu katiba inayopendekezwa hasa baada ya kupotoshwa na watu wachache wenye nia mbaya na taifa hiliKatiba Yenyewe Imezidi Kutunyonga Sisi Wa Chini.duh! ama kweli aliyenayo ataongezewa na asiekuanacho atanyang'anywa alichonacho ataongezewa yule mwenye nacho.KURA YANGU NI YA Hapana
"Kwa kuwa, sisi wananchi wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
tumeamua rasmi na kwa dhati
kujenga katika nchi yetu jamii
inayoheshimu na kuzingatia misingi
ya utu na udugu, uhuru,
kujitegemea, haki, usawa, amani na
utulivu, umoja na mshikamano
katika nyanja zote za maisha yetu
HAYO NI MAANDISHI TU KAMA MAANDISHI MENGINE
Kwa kuwa, sisi wananchi wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
tumeamua rasmi na kwa dhati
kujenga katika nchi yetu jamii
inayoheshimu na kuzingatia misingi
ya utu na udugu, uhuru,
kujitegemea, haki, usawa, amani na
utulivu, umoja na mshikamano
katika nyanja zote za maisha yetu
HAYO NI MAANDISHI TU KAMA MAANDISHI MENGINE
Mr au kijana Laizer don't be pessimistic. Umekosa matumaini na unaona kama uandikishaji unabagua vijana. Kukata kwako tamaa usiwaambulize wengine. Naona roho ya usaliti imekuvaa kama kwa Yuda Iskarioti. Kuwa muungwana na shiriki zoezi la uandikishaji ili upige kura ya NDIYO kwa katiba inayopendekezwa.Ndg yangu Laizer usikate tama, bado mapema sana. Tuwaachie NEC wafanye kazi yao na wao ndiyo wenye jukumu la kutuambia nini cha kufanya, kwa muda gani na wakati gani. Hao ndiyo haswaa wahusika wakuu wa kiambia jamii ya Watanzania na sii vinginevyo, maana kuna watu wameibuka na kutaka kuwa wao ndiyo wasemaji wa NEC. Hao watawadanganya na kuwapotosha wananchi. Sasa ni wajibu wa kila mtu apate nafasi ya kuisoma katiba inayopendekezwa ili aweze kufanya maamuzi sahihi.
Nasema hata rasmu yenyewe ilivyopita inaonyesha kuwa wanaweza kupitisha bila kuhitaji kura yako ya hapana.
Wewe sawa na 0+0= 0
Acha uongo nyie ndiyo mnapotosha umma kajiandikishe siku ikifika ukapige kura unayoitaka wewe acha kutumika vibaya wewe!
Katiba Yenyewe Imezidi Kutunyonga Sisi Wa Chini.
duh! ama kweli aliyenayo ataongezewa na asiekuanacho atanyang'anywa alichonacho ataongezewa yule mwenye nacho.
KURA YANGU NI YA Hapana