Katiba moto moto: CCM wakutana kwa dharura Protea Hotel leo

Katiba moto moto: CCM wakutana kwa dharura Protea Hotel leo

Haki sawa

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2007
Posts
4,781
Reaction score
3,210
Kutokana na moto wa Katiba ambao umewashwa baada ya sheria kupitishwa kinyemela Bungeni , leo uongozi wa CCM ikiwa ni wajumbe wa SEcretariat na Mawaziri wote waliopo chini ya ofisi ya Waziri Mkuu wapo kwenye kikao tangu asubuhi kwenye hoteli ya Protea Sea view, ajenda kuu ikiwa ni kuhusu Muswada ulivyopitishwa Bungeni na moto unavyowawakia .

kutoka ofisi ya Waziri Mkuu yupo Lukuvi, Mary Nagu, na wengine ni Pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali et al, ajenda ni Muswada ,,,,,,nitawaletea taarifa za kina baadae .

Kuna presha kubwa sana kutoka SMZ na hasa baada ya CCM kumchangia ya BALOZI Seif Idd, kwenda kutoa kauli za uongo kuwa SMZ ilishirikishwa kumbe hawa kupewa mswada wenye vifungu kumi na moja ambao ndio ulipelekewa Bungeni , wao walipewa mswada wenye vifungu 6 tu, sasa BALOZI Seif Idd, anataka kujitokeza hadharani kuwaomba radhi watz kwa kudhalilishwa kulikofanywa dhidi yake,

Aidha, presha ni kubwa sana kutoka hata kwa Mawaziri wa Bara na baadhi ya wabunge kama wakina SAmweli SItta na wengine, Lukuvi ndio alikuwa ZAnzibar anata kuwa kutoa majibu kabla Rais haja rejea nchini ,

kuhusu, sula la kuvunja Tume ya Warioba , mara baada ya kuwasilisha rasimu yake kwenye Bunge la Katiba , AG na Chikawe kila mmoja anarusha mpira kwa mwenzake , Haijulikani hoja hii ilipotokea, kwani hata Cabinet ya Muungano hawa kujadiliana kuhusu hoja hiyo, ......wait .....

waliopo kikaoni.
Zakhia Megji, Asharose, Mama Chitinka, Lukuvi, AG,SEif Khatib, CPD, Mary Nagu, Evod Mmanda......nawataja kwa uchache tuu.....ili Nnape akanushe kama kawaida yake,

mwigulu, Kinana, Nnape ,hawapo kikaoni....
 
sawa mkuu miccm imeemda kubuni mbinu mpya,wameshikwa pabaya. ngoja tuwacheki
 
yatakoma masisiemu na lisisiemu lao.------- zao masisiemu,kwa nini yasimsubiri Nchemba?
 
Hao ndio watawala wa kiafrika,suala la katiba wanaenda kujifungia hotelini na kutumia tsh50m per day
 
Wamwambia kabisa Ndugai kuwa, we are watching his move in and out of parliament
 
Kimeshanuka, hii move ya CDM, CUF na NCCR imewachanganya ! kwa sisi watu wa soka kitu kaa hii tunaitaga Counter attack.

Mbaya Zaidi hata humo humo ndani ya CCM kuna baadhi yao wanaikubali hoja ya Wapinzani kwamba si ya kubeza.
 
Hii miccm ikiwa bungeni inajitia uhayawani kabisa baada mambo kuyawia magumu yanatafuta wapi pa kutokea hawa jamaa wamelewa kuongoza nchi hii.tumechoka na wapigwe tu!
 
Tutakuamini vipi maana mkutano ni wa ccm na ni wa siri. Wewe umeingia kama nani?
 
kutokana na moto wa katiba ambao umewashwa baada ya sheria kupitishwa kinyemela bungeni , leo uongozi wa ccm ikiwa ni wajumbe wa secretariat na mawaziri wote waliopo chini ya ofisi ya waziri mkuu wapo kwenye kikao tangu asubuhi kwenye hoteli ya protea sea view, ajenda kuu ikiwa ni kuhusu muswada ulivyopitishwa bungeni na moto unavyowawakia .

Kutoka ofisi ya waziri mkuu yupo lukuvi, mary nagu, na wengine ni pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali et al, ajenda ni muswada ,,,,,,nitawaletea taarifa za kina baadae .

naona kumekucha zile mbwembwe za mjengo zimeanza kuwageuka!! Utackia baadaye matamko kama kawaida yao tena yupo mzee wa kustandardize matokeo hakuna jipya litakalofanyika.endelea kutujuza tuko pa1
 
Kutokana na moto wa Katiba ambao umewashwa baada ya sheria kupitishwa kinyemela Bungeni , leo uongozi wa CCM ikiwa ni wajumbe wa SEcretariat na Mawaziri wote waliopo chini ya ofisi ya Waziri Mkuu wapo kwenye kikao tangu asubuhi kwenye hoteli ya Protea Sea view, ajenda kuu ikiwa ni kuhusu Muswada ulivyopitishwa Bungeni na moto unavyowawakia .

kutoka ofisi ya Waziri Mkuu yupo Lukuvi, Mary Nagu, na wengine ni Pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali et al, ajenda ni Muswada ,,,,,,nitawaletea taarifa za kina baadae .

Kuna presha kubwa sana kutoka SMZ na hasa baada ya CCM kumchangia ya BALOZI Seif Idd, kwenda kutoa kauli za uongo kuwa SMZ ilishirikishwa kumbe hawa kupewa mswada wenye vifungu kumi na moja ambao ndio ulipelekewa Bungeni , wao walipewa mswada wenye vifungu 6 tu, sasa BALOZI Seif Idd, anataka kujitokeza hadharani kuwaomba radhi watz kwa kudhalilishwa kulikofanywa dhidi yake,

Aidha, presha ni kubwa sana kutoka hata kwa Mawaziri wa Bara na baadhi ya wabunge kama wakina SAmweli SItta na wengine, Lukuvi ndio alikuwa ZAnzibar anata kuwa kutoa majibu kabla Rais haja rejea nchini ,

Salaam
Mleta hoja anataka kudanganya wasomaji na great thinkers hapa. Kwani mwenyekiti wa Sekretariete ni Ndg. Kinana ambaye tuko naye Nyamongo tukiwa na ziara nzuri ya kikazi, sasa hiyo sekretariete anayoisema ni ipi?!!!? Hii tabia ya kuleta uongo jamvini inapaswa kudhibitiwa ili kulinda heshima ya jukwaa hili.
 
Tutakuamini vipi maana mkutano ni wa ccm na ni wa siri. Wewe umeingia kama nani?

Mbona mtonya habari yumo humo humo kwenye kikao,kupata habari za ndani ni rahisi mno,anaweza kujifanya amebanwa choo kubwa akaingia toilet na kuturushia data huku jf.usifikiri wote wana mawazo ya pamoja.wengine huwa wanaburuzwa tu ndg yangu.Ww subiri data tu.
 
Salaam
Mleta hoja anataka kudanganya wasomaji na great thinkers hapa. Kwani mwenyekiti wa Sekretariete ni Ndg. Kinana ambaye tuko naye Nyamongo tukiwa na ziara nzuri ya kikazi, sasa hiyo sekretariete anayoisema ni ipi?!!!? Hii tabia ya kuleta uongo jamvini inapaswa kudhibitiwa ili kulinda heshima ya jukwaa hili.
Nnape, unataka kusema hajui kikao ambacho kinawashirikisha wafuatao na ambacho bado kinaendelea hapa Protea Hotel sea view? Yupo Zakhia Megji, Asharose Migiro, Lukuvi Willium, Marry Nagu, AG, CPD HUYU ni Chief PArliamentary DRafts man , na wengineo? Nataka tuu useme , ntakuletea picha ya kikao.
 
Back
Top Bottom