Katiba moto moto: CCM wakutana kwa dharura Protea Hotel leo

Katiba moto moto: CCM wakutana kwa dharura Protea Hotel leo

Kwanini iwe siri, wangeiweka live ITV, Wachawi ndio hupenda kujifichaficha.
 
Salaam
Mleta hoja anataka kudanganya wasomaji na great thinkers hapa. Kwani mwenyekiti wa Sekretariete ni Ndg. Kinana ambaye tuko naye Nyamongo tukiwa na ziara nzuri ya kikazi, sasa hiyo sekretariete anayoisema ni ipi?!!!? Hii tabia ya kuleta uongo jamvini inapaswa kudhibitiwa ili kulinda heshima ya jukwaa hili.
Na wewe unazungumza nini? Si ndio walewale tu.
 
Salaam
Mleta hoja anataka kudanganya wasomaji na great thinkers hapa. Kwani mwenyekiti wa Sekretariete ni Ndg. Kinana ambaye tuko naye Nyamongo tukiwa na ziara nzuri ya kikazi, sasa hiyo sekretariete anayoisema ni ipi?!!!? Hii tabia ya kuleta uongo jamvini inapaswa kudhibitiwa ili kulinda heshima ya jukwaa hili.

Wewe ndio unapaswa kudhibitiwa ili kulinda heshima ya nchi yetu Tanzania.
 
Salaam
Mleta hoja anataka kudanganya wasomaji na great thinkers hapa. Kwani mwenyekiti wa Sekretariete ni Ndg. Kinana ambaye tuko naye Nyamongo tukiwa na ziara nzuri ya kikazi, sasa hiyo sekretariete anayoisema ni ipi?!!!? Hii tabia ya kuleta uongo jamvini inapaswa kudhibitiwa ili kulinda heshima ya jukwaa hili.

Acha umbea,kwani mawziri wanapokutana ni lazima Kinana awepo?Usijifanye kujua kila kitu,suala la serikali mbili limekushinda endelea kukiharibu chama huko Nyamongo.Hayo makurya yanakuchekea tu ila ndani ya mioyo yao yana mikakati yao,kwanza hiyo kijani itakuwa kumbukumbu tu 2015😛ole Nape.
 
Kikao cha wasaliti!

Wanamsaliti Mtanzania maskini wakati wao wanogelea kwenye utajiri!'

Wanastahili laana hawa wadhalimu!
 
Na bado tarehe 10/10/2013 moto utawaka nchi nzima,hawa jamaa wanafanya masihara na nchi yetu.Hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania,tutapambana kwelikweli.
 
Salaam
Mleta hoja anataka kudanganya wasomaji na great thinkers hapa. Kwani mwenyekiti wa Sekretariete ni Ndg. Kinana ambaye tuko naye Nyamongo tukiwa na ziara nzuri ya kikazi, sasa hiyo sekretariete anayoisema ni ipi?!!!? Hii tabia ya kuleta uongo jamvini inapaswa kudhibitiwa ili kulinda heshima ya jukwaa hili.

Uliona ule ujumbe wa Wananchi pale jangwani? Mwenyekiti atasaini bado?
 
umetisha kijana. tupe vitu vya jikoni mkuu. wewe kwa leo ni Jungu Kuu.
 
Mbona watajuta walichokifanya bungeni!
 
Sasa Nape Nnauye.Unasema Kikao hakiwezi kufanyika kisa tu eti kinana hayupo ina maana unatudhihirishia Udikiteta ndani ya ccm????? Maana navyojua ktk uongozi kuna Mgawanyo wa Madaraka so hakuna Mgawanyo wa madaraka ndani ya ccm??? Bila pembe za Ndovu kikao hakiendeki???
 
Kimeshanuka, hii move ya CDM, CUF na NCCR imewachanganya ! kwa sisi watu wa soka kitu kaa hii tunaitaga Counter attack.

Mbaya Zaidi hata humo humo ndani ya CCM kuna baadhi yao wanaikubali hoja ya Wapinzani kwamba si ya kubeza.
Kama ya Azam FC jana kwenye goli la tatu...
 
Nnape, unataka kusema hajui kikao ambacho kinawashirikisha wafuatao na ambacho bado kinaendelea hapa Protea Hotel sea view? Yupo Zakhia Megji, Asharose Migiro, Lukuvi Willium, Marry Nagu, AG, CPD HUYU ni Chief PArliamentary DRafts man , na wengineo? Nataka tuu useme , ntakuletea picha ya kikao.

Hahahaha wajita wana sema Nape " wamgwata" yaani wamemshika, haya Nape bisha sasa picha zilitwe!
 
Tutakuamini vipi maana mkutano ni wa ccm na ni wa siri. Wewe umeingia kama nani?

Naona kama umepitwa na wakati. Hujui kuwa ndani ya CCM wapo watu wasioridhika na yanayofanywa na CCM.
 
jamani mleta hoja ni mwongo hakuna hicho kikao mods tafadhali ondoa uongo huu jukwaani baadhi ya mawaziri waliotajwa akiwemo lukuvi wapo kwenye msafara wa pinda huko wilayani loliondo.
 
Back
Top Bottom