Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nnape, unataka kusema hajui kikao ambacho kinawashirikisha wafuatao na ambacho bado kinaendelea hapa Protea Hotel sea view? Yupo Zakhia Megji, Asharose Migiro, Lukuvi Willium, Marry Nagu, AG, CPD HUYU ni Chief PArliamentary DRafts man , na wengineo? Nataka tuu useme , ntakuletea picha ya kikao.
Mbona mtonya habari yumo humo humo kwenye kikao,kupata habari za ndani ni rahisi mno,anaweza kujifanya amebanwa choo kubwa akaingia toilet na kuturushia data huku jf.usifikiri wote wana mawazo ya pamoja.wengine huwa wanaburuzwa tu ndg yangu.Ww subiri data tu.
Kutokana na moto wa Katiba ambao umewashwa baada ya sheria kupitishwa kinyemela Bungeni , leo uongozi wa CCM ikiwa ni wajumbe wa SEcretariat na Mawaziri wote waliopo chini ya ofisi ya Waziri Mkuu wapo kwenye kikao tangu asubuhi kwenye hoteli ya Protea Sea view, ajenda kuu ikiwa ni kuhusu Muswada ulivyopitishwa Bungeni na moto unavyowawakia .
kutoka ofisi ya Waziri Mkuu yupo Lukuvi, Mary Nagu, na wengine ni Pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali et al, ajenda ni Muswada ,,,,,,nitawaletea taarifa za kina baadae .
Kuna presha kubwa sana kutoka SMZ na hasa baada ya CCM kumchangia ya BALOZI Seif Idd, kwenda kutoa kauli za uongo kuwa SMZ ilishirikishwa kumbe hawa kupewa mswada wenye vifungu kumi na moja ambao ndio ulipelekewa Bungeni , wao walipewa mswada wenye vifungu 6 tu, sasa BALOZI Seif Idd, anataka kujitokeza hadharani kuwaomba radhi watz kwa kudhalilishwa kulikofanywa dhidi yake,
Aidha, presha ni kubwa sana kutoka hata kwa Mawaziri wa Bara na baadhi ya wabunge kama wakina SAmweli SItta na wengine, Lukuvi ndio alikuwa ZAnzibar anata kuwa kutoa majibu kabla Rais haja rejea nchini ,
kuhusu, sula la kuvunja Tume ya Warioba , mara baada ya kuwasilisha rasimu yake kwenye Bunge la Katiba , AG na Chikawe kila mmoja anarusha mpira kwa mwenzake , Haijulikani hoja hii ilipotokea, kwani hata Cabinet ya Muungano hawa kujadiliana kuhusu hoja hiyo, ......wait .....
waliopo kikaoni.
Zakhia Megji, Asharose, Mama Chitinka, Lukuvi, AG,SEif Khatib, CPD, Mary Nagu, Evod Mmanda......nawataja kwa uchache tuu.....ili Nnape akanushe kama kawaida yake,
mwigulu, Kinana, Nnape ,hawapo kikaoni....
Kilingala twasema "LISANGA YA BANGANGA"
Kama ya Azam FC jana kwenye goli la tatu...
kuna uzi kauleta Tandale one , anakanusha , nani mkweli ?
Nnape, unataka kusema hajui kikao ambacho kinawashirikisha wafuatao na ambacho bado kinaendelea hapa Protea Hotel sea view? Yupo Zakhia Megji, Asharose Migiro, Lukuvi Willium, Marry Nagu, AG, CPD HUYU ni Chief PArliamentary DRafts man , na wengineo? Nataka tuu useme , ntakuletea picha ya kikao.
Tutakuamini vipi maana mkutano ni wa ccm na ni wa siri. Wewe umeingia kama nani?
Salaam
Mleta hoja anataka kudanganya wasomaji na great thinkers hapa. Kwani mwenyekiti wa Sekretariete ni Ndg. Kinana ambaye tuko naye Nyamongo tukiwa na ziara nzuri ya kikazi, sasa hiyo sekretariete anayoisema ni ipi?!!!? Hii tabia ya kuleta uongo jamvini inapaswa kudhibitiwa ili kulinda heshima ya jukwaa hili.