Katiba moto moto: CCM wakutana kwa dharura Protea Hotel leo

jamani mleta hoja ni mwongo hakuna hicho kikao mods tafadhali ondoa uongo huu jukwaani baadhi ya mawaziri waliotajwa akiwemo lukuvi wapo kwenye msafara wa pinda huko wilayani loliondo.
Kwani Babu kaanza kutoa dozi mpya.
 
Salaam
Mleta hoja anataka kudanganya wasomaji na great thinkers hapa. Kwani mwenyekiti wa Sekretariete ni Ndg. Kinana ambaye tuko naye Nyamongo tukiwa na ziara nzuri ya kikazi, sasa hiyo sekretariete anayoisema ni ipi?!!!? Hii tabia ya kuleta uongo jamvini inapaswa kudhibitiwa ili kulinda heshima ya jukwaa hili.

Kama wameshajua kuwa huyo mwenyekiti ni part ya tatizo kwa nini wasimby-pass?
 
Salaam
Mleta hoja anataka kudanganya wasomaji na great thinkers hapa. Kwani mwenyekiti wa Sekretariete ni Ndg. Kinana ambaye tuko naye Nyamongo tukiwa na ziara nzuri ya kikazi, sasa hiyo sekretariete anayoisema ni ipi?!!!? Hii tabia ya kuleta uongo jamvini inapaswa kudhibitiwa ili kulinda heshima ya jukwaa hili.

Wewe kijana unaonekana hukusoma vizuri shuleni.........nani kasema ni kikao cha sekretarieti? Namnukuu mtoa mada kwa msisitizo mwekundu!....kwani mawaziri nao ni sekretarieti?

Kutokana na moto wa Katiba ambao umewashwa baada ya sheria kupitishwa kinyemela Bungeni , leo uongozi wa CCM ikiwa ni wajumbe wa SEcretariat na Mawaziri wote waliopo chini ya ofisi ya Waziri Mkuu wapo kwenye kikao tangu asubuhi kwenye hoteli ya Protea Sea view, ajenda kuu ikiwa ni kuhusu Muswada ulivyopitishwa Bungeni na moto unavyowawakia .
 
Nnape, unataka kusema hajui kikao ambacho kinawashirikisha wafuatao na ambacho bado kinaendelea hapa Protea Hotel sea view? Yupo Zakhia Megji, Asharose Migiro, Lukuvi Willium, Marry Nagu, AG, CPD HUYU ni Chief PArliamentary DRafts man , na wengineo? Nataka tuu useme , ntakuletea picha ya kikao.

Tupa picha mkuu maana gamba haliamin
 
Salaam
Mleta hoja anataka kudanganya wasomaji na great thinkers hapa. Kwani mwenyekiti wa Sekretariete ni Ndg. Kinana ambaye tuko naye Nyamongo tukiwa na ziara nzuri ya kikazi, sasa hiyo sekretariete anayoisema ni ipi?!!!? Hii tabia ya kuleta uongo jamvini inapaswa kudhibitiwa ili kulinda heshima ya jukwaa hili.

Hivi mbona hunaga akili hata kukariri,mtoa maada kasema wewe maamuma na jangili kinana hampo,sasa unaposema mtoa mada muongo we uko na kinana nyomongo,uongo wake uko wapi.We umeshakiri kinana hayupo,kwa hiyo mtoa mada mkweli.
 
Salaam
Mleta hoja anataka kudanganya wasomaji na great thinkers hapa. Kwani mwenyekiti wa Sekretariete ni Ndg. Kinana ambaye tuko naye Nyamongo tukiwa na ziara nzuri ya kikazi, sasa hiyo sekretariete anayoisema ni ipi?!!!? Hii tabia ya kuleta uongo jamvini inapaswa kudhibitiwa ili kulinda heshima ya jukwaa hili.
Umeisha jua wazazi wako ni akina nani? Au nawe unaendeleza game channel ...0
 
jamani mleta hoja ni mwongo hakuna hicho kikao mods tafadhali ondoa uongo huu jukwaani baadhi ya mawaziri waliotajwa akiwemo lukuvi wapo kwenye msafara wa pinda huko wilayani loliondo.

Umemuona Lukuvi sasa hivi kwenye huo msafara? anaweza kuwa amerudi jana jiuoni au usik kwa ndege ya kukodi!
 
Ina maana na JK alidanganya nchi aliposema Zanzibar wameshirikishwa!
 
waliopo kikaoni.
Zakhia Megji, Asharose, Mama Chitinka, Lukuvi, AG,SEif Khatib, CPD, Mary Nagu, Evod Mmanda......nawataja kwa uchache tuu.....ili Nnape akanushe kama kawaida yake,

mwigulu, Kinana, Nnape ,hawapo kikaoni....

Kama hao hawapo kikaoni, na mwenyekiti hayupo nk. then hicho kikao kina sababu nyingine

Maybe kupanga namna ya kupiga pesa za kuibia kura
 
Kutokana na moto wa Katiba ambao umewashwa baada ya sheria kupitishwa kinyemela Bungeni , leo uongozi wa CCM ikiwa ni wajumbe wa SEcretariat na Mawaziri wote waliopo chini ya ofisi ya Waziri Mkuu wapo kwenye kikao tangu asubuhi kwenye hoteli ya Protea Sea view, ajenda kuu ikiwa ni kuhusu Muswada ulivyopitishwa Bungeni na moto unavyowawakia .

kutoka ofisi ya Waziri Mkuu yupo Lukuvi, Mary Nagu, na wengine ni Pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali et al, ajenda ni Muswada ,,,,,,nitawaletea taarifa za kina baadae .

Kuna presha kubwa sana kutoka SMZ na hasa baada ya CCM kumchangia ya BALOZI Seif Idd, kwenda kutoa kauli za uongo kuwa SMZ ilishirikishwa kumbe hawa kupewa mswada wenye vifungu kumi na moja ambao ndio ulipelekewa Bungeni , wao walipewa mswada wenye vifungu 6 tu, sasa BALOZI Seif Idd, anataka kujitokeza hadharani kuwaomba radhi watz kwa kudhalilishwa kulikofanywa dhidi yake,

Aidha, presha ni kubwa sana kutoka hata kwa Mawaziri wa Bara na baadhi ya wabunge kama wakina SAmweli SItta na wengine, Lukuvi ndio alikuwa ZAnzibar anata kuwa kutoa majibu kabla Rais haja rejea nchini ,

kuhusu, sula la kuvunja Tume ya Warioba , mara baada ya kuwasilisha rasimu yake kwenye Bunge la Katiba , AG na Chikawe kila mmoja anarusha mpira kwa mwenzake , Haijulikani hoja hii ilipotokea, kwani hata Cabinet ya Muungano hawa kujadiliana kuhusu hoja hiyo, ......wait .....

waliopo kikaoni.
Zakhia Megji, Asharose, Mama Chitinka, Lukuvi, AG,SEif Khatib, CPD, Mary Nagu, Evod Mmanda......nawataja kwa uchache tuu.....ili Nnape akanushe kama kawaida yake,

mwigulu, Kinana, Nnape ,hawapo kikaoni....

naona nape hajakusoma vizuri
 
Nnape, unataka kusema hajui kikao ambacho kinawashirikisha wafuatao na ambacho bado kinaendelea hapa Protea Hotel sea view? Yupo Zakhia Megji, Asharose Migiro, Lukuvi Willium, Marry Nagu, AG, CPD HUYU ni Chief PArliamentary DRafts man , na wengineo? Nataka tuu useme , ntakuletea picha ya kikao.

Teh teh patamu hapo!!
 
motooo moto motooooo

UUNGUZE CCMMMM

Ndio kinachoendelea sasa.
Kutokana na moto wa Katiba ambao umewashwa baada ya sheria kupitishwa kinyemela Bungeni , leo uongozi wa CCM ikiwa ni wajumbe wa SEcretariat na Mawaziri wote waliopo chini ya ofisi ya Waziri Mkuu wapo kwenye kikao tangu asubuhi kwenye hoteli ya Protea Sea view, ajenda kuu ikiwa ni kuhusu Muswada ulivyopitishwa Bungeni na moto unavyowawakia .

kutoka ofisi ya Waziri Mkuu yupo Lukuvi, Mary Nagu, na wengine ni Pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali et al, ajenda ni Muswada ,,,,,,nitawaletea taarifa za kina baadae .

Kuna presha kubwa sana kutoka SMZ na hasa baada ya CCM kumchangia ya BALOZI Seif Idd, kwenda kutoa kauli za uongo kuwa SMZ ilishirikishwa kumbe hawa kupewa mswada wenye vifungu kumi na moja ambao ndio ulipelekewa Bungeni , wao walipewa mswada wenye vifungu 6 tu, sasa BALOZI Seif Idd, anataka kujitokeza hadharani kuwaomba radhi watz kwa kudhalilishwa kulikofanywa dhidi yake,

Aidha, presha ni kubwa sana kutoka hata kwa Mawaziri wa Bara na baadhi ya wabunge kama wakina SAmweli SItta na wengine, Lukuvi ndio alikuwa ZAnzibar anata kuwa kutoa majibu kabla Rais haja rejea nchini ,

kuhusu, sula la kuvunja Tume ya Warioba , mara baada ya kuwasilisha rasimu yake kwenye Bunge la Katiba , AG na Chikawe kila mmoja anarusha mpira kwa mwenzake , Haijulikani hoja hii ilipotokea, kwani hata Cabinet ya Muungano hawa kujadiliana kuhusu hoja hiyo, ......wait .....

waliopo kikaoni.
Zakhia Megji, Asharose, Mama Chitinka, Lukuvi, AG,SEif Khatib, CPD, Mary Nagu, Evod Mmanda......nawataja kwa uchache tuu.....ili Nnape akanushe kama kawaida yake,

mwigulu, Kinana, Nnape ,hawapo kikaoni....
 
Salaam
Mleta hoja anataka kudanganya wasomaji na great thinkers hapa. Kwani mwenyekiti wa Sekretariete ni Ndg. Kinana ambaye tuko naye Nyamongo tukiwa na ziara nzuri ya kikazi, sasa hiyo sekretariete anayoisema ni ipi?!!!? Hii tabia ya kuleta uongo jamvini inapaswa kudhibitiwa ili kulinda heshima ya jukwaa hili.

Tupe ukweli kuhusu mchakato wa katiba kama kweli mmeubaka
 
Hivi huyu Evod Mmanda ni wakili au mpiga ramli!!! au alisomea chini ya mbuyu?!
 
jamani mleta hoja ni mwongo hakuna hicho kikao mods tafadhali ondoa uongo huu jukwaani baadhi ya mawaziri waliotajwa akiwemo lukuvi wapo kwenye msafara wa pinda huko wilayani loliondo.

Una uhakika?
Mods wafute ili kiwe nn?
Ww c usubiri,penye ukweli uongo hujitenga
 
Tutakuamini vipi maana mkutano ni wa ccm na ni wa siri. Wewe umeingia kama nani?
Kwani hao washiriki ni wachawi kiasi hawawezi kuonekana wanapoingia ukumbini? Ndani ya CCM kuna siri/ hiyo siri imeanza leo? Fool is FOOL
 
endapo rais JK atasaini muswada "aaaah kumbe ilikuwa danganya totooo" Mch. Zakaria Kakobe
 
Back
Top Bottom