Katiba moto moto: CCM wakutana kwa dharura Protea Hotel leo

Katiba moto moto: CCM wakutana kwa dharura Protea Hotel leo

Nnape, unataka kusema hajui kikao ambacho kinawashirikisha wafuatao na ambacho bado kinaendelea hapa Protea Hotel sea view? Yupo Zakhia Megji, Asharose Migiro, Lukuvi Willium, Marry Nagu, AG, CPD HUYU ni Chief PArliamentary DRafts man , na wengineo? Nataka tuu useme , ntakuletea picha ya kikao.

mhhh sasa mbona lukuvi yupo loliondo na ziara ya pm????
 
Nnape, unataka kusema hajui kikao ambacho kinawashirikisha wafuatao na ambacho bado kinaendelea hapa Protea Hotel sea view? Yupo Zakhia Megji, Asharose Migiro, Lukuvi Willium, Marry Nagu, AG, CPD HUYU ni Chief PArliamentary DRafts man , na wengineo? Nataka tuu useme , ntakuletea picha ya kikao.

Weka kapicha mkuu... utakuwa umemaliza kila kitu
 
Nnape, unataka kusema hajui kikao ambacho kinawashirikisha wafuatao na ambacho bado kinaendelea hapa Protea Hotel sea view? Yupo Zakhia Megji, Asharose Migiro, Lukuvi Willium, Marry Nagu, AG, CPD HUYU ni Chief PArliamentary DRafts man , na wengineo? Nataka tuu useme , ntakuletea picha ya kikao.

Mbona uliowataja sio wajumbe wa Secretariet ya CCM? Habari hii ni kwa ajili ya kukeep hai matumaini ya wafuasi wa upepo.
 
huna jipya nyie Maccm, safari lazima mtaje aliyewaloga mchana kweupe
 
Kutokana na moto wa Katiba ambao umewashwa baada ya sheria kupitishwa kinyemela Bungeni , leo uongozi wa CCM ikiwa ni wajumbe wa SEcretariat na Mawaziri wote waliopo chini ya ofisi ya Waziri Mkuu wapo kwenye kikao tangu asubuhi kwenye hoteli ya Protea Sea view, ajenda kuu ikiwa ni kuhusu Muswada ulivyopitishwa Bungeni na moto unavyowawakia .

kutoka ofisi ya Waziri Mkuu yupo Lukuvi, Mary Nagu, na wengine ni Pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali et al, ajenda ni Muswada ,,,,,,nitawaletea taarifa za kina baadae .

Kuna presha kubwa sana kutoka SMZ na hasa baada ya CCM kumchangia ya BALOZI Seif Idd, kwenda kutoa kauli za uongo kuwa SMZ ilishirikishwa kumbe hawa kupewa mswada wenye vifungu kumi na moja ambao ndio ulipelekewa Bungeni , wao walipewa mswada wenye vifungu 6 tu, sasa BALOZI Seif Idd, anataka kujitokeza hadharani kuwaomba radhi watz kwa kudhalilishwa kulikofanywa dhidi yake,

Aidha, presha ni kubwa sana kutoka hata kwa Mawaziri wa Bara na baadhi ya wabunge kama wakina SAmweli SItta na wengine, Lukuvi ndio alikuwa ZAnzibar anata kuwa kutoa majibu kabla Rais haja rejea nchini ,

kuhusu, sula la kuvunja Tume ya Warioba , mara baada ya kuwasilisha rasimu yake kwenye Bunge la Katiba , AG na Chikawe kila mmoja anarusha mpira kwa mwenzake , Haijulikani hoja hii ilipotokea, kwani hata Cabinet ya Muungano hawa kujadiliana kuhusu hoja hiyo, ......wait .....

waliopo kikaoni.
Zakhia Megji, Asharose, Mama Chitinka, Lukuvi, AG,SEif Khatib, CPD, Mary Nagu, Evod Mmanda......nawataja kwa uchache tuu.....ili Nnape akanushe kama kawaida yake,

mwigulu, Kinana, Nnape ,hawapo kikaoni....

muongo asha rose na zakia megji hawapo dar.
 
Salaam
Mleta hoja anataka kudanganya wasomaji na great thinkers hapa. Kwani mwenyekiti wa Sekretariete ni Ndg. Kinana ambaye tuko naye Nyamongo tukiwa na ziara nzuri ya kikazi, sasa hiyo sekretariete anayoisema ni ipi?!!!? Hii tabia ya kuleta uongo jamvini inapaswa kudhibitiwa ili kulinda heshima ya jukwaa hili.

Wewe Nape,wamekutenga wamekuona unaropoka sana bila mpangilio.Ni kama walivyokuambia usiende Igunga.Wamekuona hufai!!
 
Salaam
Mleta hoja anataka kudanganya wasomaji na great thinkers hapa. Kwani mwenyekiti wa Sekretariete ni Ndg. Kinana ambaye tuko naye Nyamongo tukiwa na ziara nzuri ya kikazi, sasa hiyo sekretariete anayoisema ni ipi?!!!? Hii tabia ya kuleta uongo jamvini inapaswa kudhibitiwa ili kulinda heshima ya jukwaa hili.

mbona wewe umepotea tena vipi mkutano haupo?
 
Salaam
Mleta hoja anataka kudanganya wasomaji na great thinkers hapa. Kwani mwenyekiti wa Sekretariete ni Ndg. Kinana ambaye tuko naye Nyamongo tukiwa na ziara nzuri ya kikazi, sasa hiyo sekretariete anayoisema ni ipi?!!!? Hii tabia ya kuleta uongo jamvini inapaswa kudhibitiwa ili kulinda heshima ya jukwaa hili.

Mkuu hapo Hakuna uongo, hajasema Kinana nae yupo kwenye hicho kikao. Na pia Kama ye mwenyekiti asipokuwepo kikao kinaweza kuongozwa Na mwenyekiti Wa muda
 
kutokana na moto wa katiba ambao umewashwa baada ya sheria kupitishwa kinyemela bungeni , leo uongozi wa ccm ikiwa ni wajumbe wa secretariat na mawaziri wote waliopo chini ya ofisi ya waziri mkuu wapo kwenye kikao tangu asubuhi kwenye hoteli ya protea sea view, ajenda kuu ikiwa ni kuhusu muswada ulivyopitishwa bungeni na moto unavyowawakia .

Kutoka ofisi ya waziri mkuu yupo lukuvi, mary nagu, na wengine ni pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali et al, ajenda ni muswada ,,,,,,nitawaletea taarifa za kina baadae .

Kuna presha kubwa sana kutoka smz na hasa baada ya ccm kumchangia ya balozi seif idd, kwenda kutoa kauli za uongo kuwa smz ilishirikishwa kumbe hawa kupewa mswada wenye vifungu kumi na moja ambao ndio ulipelekewa bungeni , wao walipewa mswada wenye vifungu 6 tu, sasa balozi seif idd, anataka kujitokeza hadharani kuwaomba radhi watz kwa kudhalilishwa kulikofanywa dhidi yake,

aidha, presha ni kubwa sana kutoka hata kwa mawaziri wa bara na baadhi ya wabunge kama wakina samweli sitta na wengine, lukuvi ndio alikuwa zanzibar anata kuwa kutoa majibu kabla rais haja rejea nchini ,

kuhusu, sula la kuvunja tume ya warioba , mara baada ya kuwasilisha rasimu yake kwenye bunge la katiba , ag na chikawe kila mmoja anarusha mpira kwa mwenzake , haijulikani hoja hii ilipotokea, kwani hata cabinet ya muungano hawa kujadiliana kuhusu hoja hiyo, ......wait .....

Waliopo kikaoni.
Zakhia megji, asharose, mama chitinka, lukuvi, ag,seif khatib, cpd, mary nagu, evod mmanda......nawataja kwa uchache tuu.....ili nnape akanushe kama kawaida yake,

mwigulu, kinana, nnape ,hawapo kikaoni....
nape hawezi kukanusha kaenda tukuyu kutafuta wazazi wake hawezi aka deal na mambo ya katiba toka mlipo mwambia akatafute wazazi wake ndo katokomea.
 
Back
Top Bottom